Hivi gwajima ndiyo anayetembea na wake za watu kama ndiye kesha laaniwa hata anayozungumza siyo yeye ni shetani aliyemwingia.
Nshajua ile helcopta kumbe alinunu lowassa ndo kampa gwajima ili wajikosheee
Endeleeni kutumia pesa chafu
Watanzania tumeskut tuu tunausoma mchezoo
Hivi gwajima ndiyo anayetembea na wake za watu kama ndiye kesha laaniwa hata anayozungumza siyo yeye ni shetani aliyemwingia.
Wewe unaonekana hata gazeti hujasoma au umesimuliwa, pili upate nafasi ya karibu kumfuatilia Askofu Gwajima, nadhani katika Taifa hili kwa sasa ndiye kiongozi wa dini anayeongoza kwa kukemea wezi, mafisadi, wala rushwa na kila aina ya uovu unaofanywa na serikali.. Askofu Gwajima pekee katika pita pita zangu niliwahi kumsikia akiwataja wezi wa mali za umma na kuwataka wajiwajibishe na wakigoma wawajibishwe tena sio tu kwa kuvuliwa nyadhifa zao bali kwa kurudisha mali walizoziibia taifa hili kwa miaka mingi.
Ukisoma gazeti vizuri, mwandishi ameweka wazi maneno mafupi aliyonukuu toka kwa Askofu, na pia ni jambo la wazi lisilopingika kuwa hakuna njia kuelekea urais pasipo kutumia fedha, huitaji elimu ya ngazi ya phD kufahamu jambo hili. Kwani kinachomtesa Kikwete leo hii ni nini? Kulipa fadhila kwa pesa alizotumia kabla ya kuteuliwa na chama, wakati wa kuteuliwa, baada ya kuteuliwa, kabla ya kampeni na wakati wa kampeni. Kuunda mitandao ya ushindi mambo yote haya hugharimu pesa, tatizo linakuja ni kuwa, "Je, Pesa unazotumia ni oesa halali??" Pia, kwa historia ya Askofu Gwajima angeishakuwa kiongozi huyu tena hata Mbunge kutokana na ushawishi wake kwa watu wengi hapa nchini ila kwakua si mtu wa tamaa na ameweka mbele maslahi ya imani na kazi ya Mungu anayoiyofanya... Kipindi yupo Ubungo kiongozi huyu wa dini angegombea Ubunge asingeshindwa kupitia CCM na yawezekana kukataa kwake ndio sababu ya yeye kuondolewa pale Ubungo kwani alikosesha CCM jimbo.
Wacha ukweli usemwe wazi kabisa, Ni Askofu gani au kiongozi gani wa dini alishakemea serikali juu ya ujenzi wa Misikiti/Makanisa katika public service centres zaidi ya Gwajima??
Truth must be told openly, tuache ushabiki wa kishamba... soma gazeti kwa umakini wacha kukurupuka.
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, kwa mara ya kwanza amejitosa kwenye harakati za Urais kwa kutoa kauli za ukosoaji zinazowalenga baadhi ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaoutaka Urais.
Katika mazungumzo yake na RAI, Gwajima alisema kauli zilizotolewa hivi karibuni na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe na Naibu Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Mawasiliano, Januari Makamba na Waziri Mkuu wa zamani Cleopa Msuya dhidi ya wanasiasa wenzao zina dhamira ovu ya kupakana matope.
Akizungumzia kauli hizo, Askofu Gwajima alisema wanasiasa wanaodai kuchukizwa na mafisadi na kusema kwamba Watanzania wasiwachague wagombea urais wanaotumia fedha, hawana hoja badala yake wanaendesha vita ya Urais.
"Kwani mtu yeyote mwenye akili timamu anajua kwamba bila fedha huwezi kujenga mtandao wa Urais, ili ufanikiwe unahitaji kutumia fedha kujenga mtandao, kwa mfano unahitaji usaidizi wa watu wa Rukwa, Mwanza n.k; lazima uwe na watu huko Rukwa na Mwanza na lazima utoe fedha ili watu hao waweze kusafiri, kula na kulala."
"Bila fedha huwezi kuwaza suala la Urais, maneno yao yanalenga kupotosha watu kwamba wako watu fulani wasiotumia fedha, huku wakijua ukweli kwamba kila mtu anatumia fedha, kwa mfano fomu ya kuwania Urais ni shilingi milioni tano, sasa wao hizo fedha watakuwa wamezipata wapi? Kiujumla, hatua kubwa kama ya Urais inahitaji fedha," alisema.
SOURCE: GAZETI LA RAI ALHAMISI JANUARI 8-14, 2015
Gwajima tapeli kama matapeli wengine tu naye ni miongoni mwa watu waliogawiwa hela na mafisadi lakini zitamtokea puani.
Sasa endelea kuwaza ukishapata jibu ndo utajua analofanya EL ni sahihi ama si sahihi,japo mimi nimefikia hitimisho kwamba ni hilo la pili..Ninawaza tu hapa kwa sauti! Inaelekea kwamba CCM imebadilika sana nyakati hizi za Kikwete!!?? Hivi kazi ya kujenga mtandao ni ya mtu binafsi, au ni ya Chama? Hivi mgombea Urais kutoka Chama Cha Mapinduzi, ni mgombea binafsi, au ni mgombea wa Chama? Je, Mwinyi na Mkapa waliijenga binafsi mitandao yao, au ni Chama Cha Mapinduzi kilichowajengea mitandao yao? Je, Mwinyi na Mkapa, ni nani aliyewalipia ada za fomu zao?
Wewe unaonekana hata gazeti hujasoma au umesimuliwa, pili upate nafasi ya karibu kumfuatilia Askofu Gwajima, nadhani katika Taifa hili kwa sasa ndiye kiongozi wa dini anayeongoza kwa kukemea wezi, mafisadi, wala rushwa na kila aina ya uovu unaofanywa na serikali.. Askofu Gwajima pekee katika pita pita zangu niliwahi kumsikia akiwataja wezi wa mali za umma na kuwataka wajiwajibishe na wakigoma wawajibishwe tena sio tu kwa kuvuliwa nyadhifa zao bali kwa kurudisha mali walizoziibia taifa hili kwa miaka mingi.
Ukisoma gazeti vizuri, mwandishi ameweka wazi maneno mafupi aliyonukuu toka kwa Askofu, na pia ni jambo la wazi lisilopingika kuwa hakuna njia kuelekea urais pasipo kutumia fedha, huitaji elimu ya ngazi ya phD kufahamu jambo hili. Kwani kinachomtesa Kikwete leo hii ni nini? Kulipa fadhila kwa pesa alizotumia kabla ya kuteuliwa na chama, wakati wa kuteuliwa, baada ya kuteuliwa, kabla ya kampeni na wakati wa kampeni. Kuunda mitandao ya ushindi mambo yote haya hugharimu pesa, tatizo linakuja ni kuwa, "Je, Pesa unazotumia ni oesa halali??" Pia, kwa historia ya Askofu Gwajima angeishakuwa kiongozi huyu tena hata Mbunge kutokana na ushawishi wake kwa watu wengi hapa nchini ila kwakua si mtu wa tamaa na ameweka mbele maslahi ya imani na kazi ya Mungu anayoiyofanya... Kipindi yupo Ubungo kiongozi huyu wa dini angegombea Ubunge asingeshindwa kupitia CCM na yawezekana kukataa kwake ndio sababu ya yeye kuondolewa pale Ubungo kwani alikosesha CCM jimbo.
Wacha ukweli usemwe wazi kabisa, Ni Askofu gani au kiongozi gani wa dini alishakemea serikali juu ya ujenzi wa Misikiti/Makanisa katika public service centres zaidi ya Gwajima??
Truth must be told openly, tuache ushabiki wa kishamba... soma gazeti kwa umakini wacha kukurupuka.
Sijui kashamwacha yule mwimbaji wa nyimbo za Injili.Halafu kuna ile scandal ya kuzaa na mke wa mtu Dr fulani sijui kesi imemalizika au imechinjiwa baharini.
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, kwa mara ya kwanza amejitosa kwenye harakati za Urais kwa kutoa kauli za ukosoaji zinazowalenga baadhi ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaoutaka Urais.
Katika mazungumzo yake na RAI, Gwajima alisema kauli zilizotolewa hivi karibuni na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe na Naibu Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Mawasiliano, Januari Makamba na Waziri Mkuu wa zamani Cleopa Msuya dhidi ya wanasiasa wenzao zina dhamira ovu ya kupakana matope.
Akizungumzia kauli hizo, Askofu Gwajima alisema wanasiasa wanaodai kuchukizwa na mafisadi na kusema kwamba Watanzania wasiwachague wagombea urais wanaotumia fedha, hawana hoja badala yake wanaendesha vita ya Urais.
"Kwani mtu yeyote mwenye akili timamu anajua kwamba bila fedha huwezi kujenga mtandao wa Urais, ili ufanikiwe unahitaji kutumia fedha kujenga mtandao, kwa mfano unahitaji usaidizi wa watu wa Rukwa, Mwanza n.k; lazima uwe na watu huko Rukwa na Mwanza na lazima utoe fedha ili watu hao waweze kusafiri, kula na kulala."
"Bila fedha huwezi kuwaza suala la Urais, maneno yao yanalenga kupotosha watu kwamba wako watu fulani wasiotumia fedha, huku wakijua ukweli kwamba kila mtu anatumia fedha, kwa mfano fomu ya kuwania Urais ni shilingi milioni tano, sasa wao hizo fedha watakuwa wamezipata wapi? Kiujumla, hatua kubwa kama ya Urais inahitaji fedha," alisema.
SOURCE: GAZETI LA RAI ALHAMISI JANUARI 8-14, 2015
Askofu wa kujipa mwenyewe kama kakobe. Eti askofu. Uaskofu si kitu cha kujibandika tu mwenyewe. Kalala kaamka anaanzisha kanisa na kuwa mkuu. Tuyaache hayo. Fisadi yeyote hafai kuwa Kiongozi mahali popote na ktk nafasi yoyote ya uongozi. Kwa mantiki hiyo fisadi yeyote na wafuasi wake katika uchaguzi wa Oktoba 2015 wasichaguliwe ili nchi yetu ipate viongozi safi watakaotuongoza ktk maendeleo, amani na utulivu.