johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,703
- 143,130
Askofu mkuu wa TAG Dr Mtokambali alitufundisha uwepo wa Hofu mbalimbali zaidi ya 900 zikiwemo Hofu ya mboga za majani, Hofu ya kuvaa nguo, Hofu ya mama mkwe na Hofu ya ajira.
Mkuu wa mkoa wa Songwe mh Mgumba akasema yeye anaielewa sana Hofu ya mama mkwe kwani wenyeji wa mkoani kwake hawatumii choo kimoja na mama mkwe.
Sasa hii ya Spika Ndugai inaweza kuwa ni Hofu ya kukosa ajira
Mungu wa mbinguni awabariki sana!