Askofu Dkt. Mtokambali alitufundisha uwepo wa aina 945 za Hofu ikiwemo Hofu ya " mama mkwe" na Hofu ya " ajira", labda Ndugai ana hofu ya Ajira!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,025
142,074
Askofu mkuu wa TAG Dr Mtokambali alitufundisha uwepo wa Hofu mbalimbali zaidi ya 900 zikiwemo Hofu ya mboga za majani, Hofu ya kuvaa nguo, Hofu ya mama mkwe na Hofu ya ajira.

Mkuu wa mkoa wa Songwe mh Mgumba akasema yeye anaielewa sana Hofu ya mama mkwe kwani wenyeji wa mkoani kwake hawatumii choo kimoja na mama mkwe.

Sasa hii ya Spika Ndugai inaweza kuwa ni Hofu ya kukosa ajira

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 
Ndugai angepoteza ubunge na vyote pamoja na mke wange uteuzi wa RAS ni wa magumashi sn maana alipata hati chafu akiwa DED Bahi
 
Ndugai alitaka ujumbe umufikie Hangaya,na katimiza kuomba msamaha ni zuga tu Ili mkono uende kinywani.
 
Askofu mkuu wa TAG Dr Mtokambali alitufundisha uwepo wa Hofu mbalimbali zaidi ya 900 zikiwemo Hofu ya mboga za majani, Hofu ya kuvaa nguo, Hofu ya mama mkwe na Hofu ya ajira.

Mkuu wa mkoa wa Songwe mh Mgumba akasema yeye anaielewa sana Hofu ya mama mkwe kwani wenyeji wa mkoani kwake hawatumii choo kimoja na mama mkwe.

Sasa hii ya Spika Ndugai inaweza kuwa ni Hofu ya kukosa ajira

Mungu wa mbinguni awabariki sana!

Ilikuwa lini? Aligusia hofu ya corona?
 
Back
Top Bottom