love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,531
- 2,896
Bla bla ndio ku-critize au njia mpya ya kufanya argument?Lete facts sio bla bla bla umefanya research au unaropoka tu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Rwaichi alisema mkachanje au ni watawa tu.
Wewe kama unadai ushawishi wake umeongezeka huku wao wakikili wamepoteza ushawishi
siwezi nkafanya argument na wewe uwe unamfuatilia pope wako basi.