Askofu Charles Gadi atoa tahadhari kwa kampuni ya Dorsal Group

Message yenyewe inajipinga. Kwanza anasema hahitaji msaada wa Mungu halafu anasema mungu aliyenyesha mvua India ndiye atamsaidia
Halafu deadline ina walakini eti waondoke kati ya jumanne tar. 23 Juni na Alhamisi Juni 26!? Wakati alhamisi ni tarehe 25.
You cannot intimidate a person by a mere vague statement like this...
 
Unaweza kuta ni kweli kakosewa. Ila maneno yake yanaonyesha sio askofu wa Mungu wa Kweli bali ni wa Maovu. Ndio maana anapenda maovu kama kufanya watu kuwa vichaa, kuua na kadhalika, mambo hayo hupendwa na mungu wa kishetani ambaye pia yu hai kwa sasa.

Pia ametanguliza mbele mambo ya kimwili (vitu) kama ardhi kuliko ya kiroho yaani Upendo, Msamaha na kumtegemea Mungu wa Kweli.

Huyu sio Askofu wa Kiislamu wala Kikrisito, bali labda wa kikristo wa uongo. Tunamwombea Mungu aiponye roho yake iliyopotea. Anamtumia shetani kutafsiri mistari ya kwenye Biblia badala ya kumtumia ROHO WA MUNGU.
 
Hapo sasa tuone nani zidi Mungu wa Israel au Mungu wa Buddha nawaomba sana tuangalie kwa makini mtifuano huu na Jumatano tuletewe majibu hapahapa JF ili watu wajue nani KIDUME.

Mkuu historia ya vita vya kagera part 2 unaitoa lini?
 
Vita vya kagera sehemu ya pili ilishatoka mda mrefu itafute imo humu humu JF
 
Hizi dini za waarabu na wayahudi tungewaachia wenyewe, maana dini zetu bado hatujaziondoa kwenye damu. huyu askofu ni kituko.
 
Mkuu historia ya vita vya kagera part 2 unaitoa lini?

Hana llt huyo Echolima.

Anasoma Vitabu halafu ana copy and paste km Zekomedi.

Mpiganaji ana maneno ya mipasho namna hio?
Teh teh teh teh.

Huyu hata huo upishi jeshini pia nina wsws nao.
Huyu inawezekana hata wakati wa vita vya kagera alikuwa ana miaka 10. Sasa sijui alipigana kwa manati?
 
Last edited by a moderator:
bado masaa 3 na ushee. 'askofu' Gadi na utabiri wa kweli au wa mitume ya kibaali
 
Bado kama lisaa na dakika 20. Aliyepo karibu na eneo la tukio, tunaomba mrejesho.
 
Eti na wewe kahtaan umefunga,bure kabisa, Njoo huku tufuturu kwa KITIMOTO.
Hana llt huyo Echolima.

Anasoma Vitabu halafu ana copy and paste km Zekomedi.

Mpiganaji ana maneno ya mipasho namna hio?
Teh teh teh teh.

Huyu hata huo upishi jeshini pia nina wsws nao.
Huyu inawezekana hata wakati wa vita vya kagera alikuwa ana miaka 10. Sasa sijui alipigana kwa manati?
 
Last edited by a moderator:
Vita vya kagera sehemu ya pili ilishatoka mda mrefu itafute imo humu humu JF

Vita ya kagera anahadithia mgambo?

Teh teh teh teh.
Dunia hii zekomed kila kona.
Dah!

We njaa itakuua.
Halafu kuna mbulumundu eti anakushauri uandike kitabu.
Sasa sijui uanzie wapi kuandika wakati vita inaanza we hata huo umgambo hujaupata!

Teh teh teh teh. Aisee leo nimecheka mpk swaumu imepungua.

Alhamdulillah. Duh!
 
Hivi kwa mfano, wahindi hawakurejesha Ardhi, Na askofu akaendelea kutekeleza ushetani aliouzungumza wa kuwaua na kuwafanya wawe vichaa, sheria ya Nchi inasemaje? Atakamatwa ashitakiwe kwa madhara aliyoyafanya au ataonekana ana uhuru wa kusababisha madhara kwa kutumia nembo ya ibada?
 
du
kweli sheria haijazungumzia hilo
hasa la Mtu kulaani na ikatokea laana kumfika
humu tu JF kuna watu wanamlaani Rais wetu na hayamfiki
sembuse huyu Askofu wa kujipachika analaani uwe KICHAA, WEWE KUFA wakati haujui hata huo UHAI ni kitu gani
kwa hiyo Sheria zetu na hata hapa Duniani haiamini Neno la binadamu wa kawaida linaweza kuumba NENO (ww kuwa mwanamke wakati u mwanamume) HAIWEZEKANI
 
Hivi kwa mfano, wahindi hawakurejesha Ardhi, Na askofu akaendelea kutekeleza ushetani aliouzungumza wa kuwaua na kuwafanya wawe vichaa, sheria ya Nchi inasemaje? Atakamatwa ashitakiwe kwa madhara aliyoyafanya au ataonekana ana uhuru wa kusababisha madhara kwa kutumia nembo ya ibada?

Wa namna hio andiko linasema Alikuwa anawatoa pepo tu bwana akatwaa.

Wana laana hawa mkuu wangu.
Subiri wafe tu Wakatupwe Jahannam. Viburi vimewajaa kupita kiasi.

Quraan Imeshasema hawa ni Viziwi,mabubu na vipofu. Kamwe hawatorejea.

Laana Ya Mungu iwe Juu ya Washirikina.
 
Message yenyewe inajipinga. Kwanza anasema hahitaji msaada wa Mungu halafu anasema mungu aliyenyesha mvua India ndiye atamsaidia
Halafu deadline ina walakini eti waondoke kati ya jumanne tar. 23 Juni na Alhamisi Juni 26!? Wakati alhamisi ni tarehe 25.
You cannot intimidate a person by a mere vague statement like this...
Onyo lake limejitekeleza mpaka sasa?
Au yalikuwa maneno tu!
 
Back
Top Bottom