Askofu Charles Gadi atoa tahadhari kwa kampuni ya Dorsal Group

Mkuu, "Askofu" huyu, ni tapeli tu wa kawaida! Miaka kadha iliyopita, aliwahi kuiombea Taifa Stars hadharani, kwa mbwembwe nyingi mbele ya waandishi wa habari wa magazeti na TV, kisha akatangaza kwamba tangu wakati huo Taifa Stars itafanya maajabu mpaka itafikia kushiriki katika fainali za Kombe la Dunia. Matokeo yake, tangu wakati huo Taifa Stars imekuwa kama imelogwa zaidi, hadi majuzi imekwenda Misri na kuchapwa 3-0, na pia juzi imechapwa na Uganda 3-0 huko Zanzibar na kuwaudhi Watanzania walioamua kuwazomea!

Vituko vyake vya utapeli ni vingi. Wakati fulani kulikuwa na uhaba wa samaki ferry, na wavuvi wakasema kwamba siyo msimu wake. Tapeli huyu akaita tena waandishi wa habari wa magazeti na TV, na kufanya maombi hadharani, kisha akatangaza kwa mbwembwe kwamba wakati huo huo "mungu" wake atawaleta samaki wengi mpaka karibu kabisa na ufukweni mwa bahari, na kazi ya wavuvi itakuwa ni "kuwaokota" tu! Wavuvi walikwenda kwa matumaini makubwa, lakini kila siku waliambulia patupu, na waandishi walipowahoji walimdhihaki sana mtumishi wa "mungu". Ukame wa samaki uliendelea kwa wiki kadha, mpaka msimu wake ulipowadia tena!!!

Duh! hii kiboko!
 
Hawa wahindi wameshaambiwa kuwa Lowassa atakuwa Rais maana ndie anaefanya nao biashara kupitia kwa Rostam Aziz...

Wahindi ni wakorofi na wana dharau sana kwa wenyeji!
 
Kwa hilo unamsingizia sana naona unatafuta kick furani.

Mkuu, habari hizi zilitangazwa kwenye TV na magazeti karibu yote, labda wewe hukuwepo Bongo. Wakati anaombea Taifa Stars alikuwa na jezi za Taifa Stars na mipira kadha. Vituko vingine vya namna hiyo alivifanya hadharani kwenye Uwanja wa Biafra, Kinondoni. Haikuwa siri!
 
Nitajie tarehe,mwezi na Mwaka naweza kupata Documentary ya tukio hilo vizuri zaidi nipe mwezi na mwaka harafu mimi nitaifuta na nitaiweka hapa kama ushahidi.

Mkuu, fanya homework mwenyewe, ni rahisi sana kawaulize waandishi wa vyombo mbalimbali, wanamjua sana.
 
Hapa nilipo ni kwenye chombo cha habari Documentary zote naweza kuzipata hapa hapa nilipo hivyo kuwa muungwana tu nipe Mwezi na mwaka nikuletee mda si mrefu kama kweli ulikuwa unasema kweli.

Mkuu, kwa kukurahisishia, wewe search Google tu kwa kuandika "charles gadi aiombea taifa stars" halafu utazipata habari za huyu bwana. Anzia hapo. Hii ni JF ya GT's, tuko very informed!
 
Ok sawa lakini kwa kuwa mimi niko jikoni hapa ningeweza tu kupakua hiyi habari bila shida.Ok aksante sana kwa taarifa.
Mkuu, kwa kukurahisishia, wewe search Google tu kwa kuandika "charles gadi aiombea taifa stars" halafu utazipata habari za huyu bwana. Anzia hapo. Hii ni JF ya GT's, tuko very informed!
 
Hapo sasa tuone nani zidi Mungu wa Israel au Mungu wa Buddha nawaomba sana tuangalie kwa makini mtifuano huu na Jumatano tuletewe majibu hapahapa JF ili watu wajue nani KIDUME.

Wagalatia mnaifanya miungu yenu igombane sasa.

Yaani nyie miungu yenu ni ya waisrael na Wachina tu. Hio ya waafrika mtaianzisha lini?
 
RAMADHAN KAREEM kahtaan umerudi tena Mwone Zanzibar Spices akupakulie maarifa ili kuuinua Uislamu ambao wengi wanauporomoa chini kwa kukosa Hikma.

Huyo sidhani km ni muislamu bali ni wale kina Ishmael wanaovaa vibandiko na kujichanganya na waislamu hali ya kuwa wao ni Makafiri.

Ujanja huo wa kizamani mno.
 
Last edited by a moderator:
Asitafirulahh yaani unamsingizia mwenzako wakati ni mwezi wa TOBA lahaullah ya toba.
Huyo sidhani km ni muislamu bali ni wale kina Ishmael wanaovaa vibandiko na kujichanganya na waislamu hali ya kuwa wao ni Makafiri.

Ujanja huo wa kizamani mno.
 
Kwa hilo unamsingizia sana naona unatafuta kick furani.
huyo Askof ni Mhuni anaonekana kama askofu anapokuwa na Msalaba , Ukiondoa Msalaba tayari utaona utapeli wake
Mtu anaita waindishi ili wamujue kesho atafanya utapili kama Shehe Yahya
 
Hapa nilipo ni kwenye chombo cha habari Documentary zote naweza kuzipata hapa hapa nilipo hivyo kuwa muungwana tu nipe Mwezi na mwaka nikuletee mda si mrefu kama kweli ulikuwa unasema kweli.
Mkuu wewe upo Chombo gani usiye mjua tapeli huyu??
Askof Huyu ni tapeli kama alivyokuwa Babu!!
Kumbuka kuna media walimpamba Babu leo hii wanaonekana wajinga!!
Fuatilia History ya mtu huyu kumbuka taifa limetapeliwa na Maskofu wa Deci na Media walichelewa kujua kama wewe ulivyo
 
Jamani mbona watumishi wa bwana utapeli umezidi namna hii?

Hivi mtu akipewa nafasi ya kuchunga kondoo lzm AIBE?

Duh!
 
Kakufuru huyo.binadamu bila Msaada wa Mwenyezi Mungu hawezi fanikiwa lolote!!! Mkwara koko tu huo.Wahindi wanategemea na kupata msaada wa miungu yao sasa yeye kama hahitaji msaada wa Mungu yeyote basi analo.Hilo shamba hapati wala nini.Anatishia nyau wakati hana mungu wa kumsaidia!!! Askofu asiyehitaji msaada wa Mungu!!!!! Huyo askofu wa ajabu sijapata kuona.Wagalatia mna maaskofu wasiohitaji msaada wa mungu!!! kujiita Askofu ni utapeli wa hali ya juu.Askofu huitwa askofu sababu ni mhitaji msaada wa Mungu.
anaye kufuru ni K AFIRI
 
kisha akatangaza kwamba tangu wakati huo Taifa Stars itafanya maajabu mpaka itafikia kushiriki katika fainali za Kombe la Dunia.
Tapeli huyu akaita tena waandishi wa habari wa magazeti na TV, na kufanya maombi hadharani, kisha akatangaza kwa mbwembwe kwamba wakati huo huo "mungu" wake atawaleta samaki wengi mpaka karibu kabisa na ufukweni mwa bahari,

Hao Samaki alipobanwa waliposhindwa kutokea akasema ni samaki wa kiroho aliokuwa akiongelea.
Kuhusu Taifa stars kufungwa akasema ilifungwa sababu ya watazamaji kuungurumisha matusi uwanjani ANGALIA UWONGO WAKE HA[PO CHINI

AJUAE MCHA: Matusi yachangia Stars kufungwa:Gadi
 
Back
Top Bottom