Askofu Benson Bagonza (PhD): Mandela na Mbowe ni sawa, maana mbinu alizoshugulikiwa nazo Mandela na Wakoloni ndio Mbowe anashugulikiwa nazo

Umekurupuka usingizini ndugu? Ni wapi umesoma Askofu aliyaandika haya mtandaoni?
Huyu askofu koko hajui uaskofu anatakiwa atumie mitandao kuhubiri injili sio siasa.Hajui Matumizi ya mitandao kama kiongozi wa dini
 
Pole sana mkuu. Naona povu sana. Vipi kazaa na ndugu yako nini?
Kazaa Na malaya huyo usiende kutafuta maombi kwake hatakiwi kuombea wengine ajiombee yeye Na nafsi yake Na madhambi yake ya Uzinzi yaliyokubuhu Yeye ndio anatakiwa atafute wa kumwombea sababu kashindwa kudhibiti tamaa za Uzinzi atafute waombaji wakemee pepo lake la Uzinzi aliloshindwa kulidhibiti kwa kofia ,Fimbo ,Pete Na gwanda la uaskofu
 
tapatalk_1544182704954.jpeg
 
Hahahaaaa...kapuku bana....jifariji kwa maneno hayo
Bahati mbaya sikuwahi kuishi kwa dili na furaha yangu haikuwa kutegemea maisha ya dilina ujaujanja..kero yangu kubwa ilikuwa foleni kwenda airport na nchi kutokuwa na ndege..basi
 
Baba Askofu kabla hujaanza kumfananisha Mbowe na Mandela pengine ungekaa na Mbowe na kumweleza umuhimu wa kuwa mkweli. Alituma ujumbe Mahakani kuwa yuko Mahututi kwenye hospitali moja huko Afrika Kusini, kumbe ameenda Ubelgiji kwa mambo yake! Na alivyomsahaulifu akatuma na picha kabisa. Sasa leo hii wewe mtumishi wa Mungu na majoho yako umeshindwa hata kusimamia hilo ili siku nyingine asiseme uwongo? Au ile Amri ya Tano imefutwa kwenye kitabu cha baba Askofu?
Hii ndio tunaita kukataa kuona tembo aliyeko chumbani badala yake unapiga kelele kuhusu sisimizi. Kubwa unaloliona hapa ni Mbowe kuwa nje ya nchi, ni kweli hilo ni jambo. Lakini vipi kuhusu kesi zisizokuwa na msingi? Kwanini wakati huu ndio wapinzani wanashinda mahakamani, why now?
 
Basi sawa mbowe ni Sawa na Mandela, kuna jengine kwani!
 
Baba Askofu kabla hujaanza kumfananisha Mbowe na Mandela pengine ungekaa na Mbowe na kumweleza umuhimu wa kuwa mkweli. Alituma ujumbe Mahakani kuwa yuko Mahututi kwenye hospitali moja huko Afrika Kusini, kumbe ameenda Ubelgiji kwa mambo yake! Na alivyomsahaulifu akatuma na picha kabisa. Sasa leo hii wewe mtumishi wa Mungu na majoho yako umeshindwa hata kusimamia hilo ili siku nyingine asiseme uwongo? Au ile Amri ya Tano imefutwa kwenye kitabu cha baba Askofu?
Hakusema kuwa yuko mahututi!
 
Akili ndogo shida sana, gongea uelewa kwa jirani, sio mnafanya vile kwenye sigara tu!
 
Baba Askofu kabla hujaanza kumfananisha Mbowe na Mandela pengine ungekaa na Mbowe na kumweleza umuhimu wa kuwa mkweli. Alituma ujumbe Mahakani kuwa yuko Mahututi kwenye hospitali moja huko Afrika Kusini, kumbe ameenda Ubelgiji kwa mambo yake! Na alivyomsahaulifu akatuma na picha kabisa. Sasa leo hii wewe mtumishi
wa Mungu na majoho yako umeshindwa hata kusimamia hilo ili siku nyingine asiseme uwongo? Au ile Amri ya Tano imefutwa kwenye kitabu cha baba Askofu?
Amri ya tano unaijua? Jnahusikaje hapa?
 
kwa hiyo Askofu anasema Bongo kuna kaburu mweusi...inawezekana kabisa kwa mambo yayoendelea kila kukicha...
 
Baba Askofu kabla hujaanza kumfananisha Mbowe na Mandela pengine ungekaa na Mbowe na kumweleza umuhimu wa kuwa mkweli. Alituma ujumbe Mahakani kuwa yuko Mahututi kwenye hospitali moja huko Afrika Kusini, kumbe ameenda Ubelgiji kwa mambo yake! Na alivyomsahaulifu akatuma na picha kabisa. Sasa leo hii wewe mtumishi wa Mungu na majoho yako umeshindwa hata kusimamia hilo ili siku nyingine asiseme uwongo? Au ile Amri ya Tano imefutwa kwenye kitabu cha baba Askofu?

Huyo baba Askofu sio mjinga wa hivyo, anajua chanzo cha hiyo kesi ni kuharibu taratibu za uchaguzi kwa amri ya jiwe. Na hicho kinachoendelea kwenye hiyo kesi ni sehemu ya kuisafisha serekali na mauaji ya Akwilina na kuficha uchezeaji wa box la kura chini ya utawala wa jiwe. Ukweli uko wazi akina Mbowe wanaonewa kwakuwa hawana dola na mwenye dola anaweza kuiagiza mahakama itii anachotaka.
 
View attachment 959204

Maneno ya Baba Askofu Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
"Japokua Mbowe ni tofauti na Mandela, lakini mbinu za kumshughulikia Mbowe zikifanana na zile zilizomshughulikia Mandela, basi Mandela na Mbowe wanakuwa sawa. Na kwa hiyo waliomshughulikia Mandela wanakuwa sawa na wanaomshughulikia Mbowe. Tunahitaji nguvu ya hoja" (si nguvu ya dola).!
laaana inamtafuna.
 
Back
Top Bottom