Kuna wengine hamuwezi kuelewa hata kwa picture.Jina Askofu/ Padri/ Shekhe na majina mengine yanayowakilisha mjumbe wa Mungu, ni majina makubwa Sana, yanaheshima ya kipekee, Ni majina yanayopatikana Kwa sifa ya kubeba mamlaka nyingine, ili kulinda hadhi ya jina Hilo na kuondoa ukakasi na kuwapa watu Uhuru wa kuchambua mada mfu zinazoletwa na viongozi wa Dini, ni Bora wajisajiri hapa Kwa majina Yao halisi au majina feki, hii itawapa nafasi hata wafuasi wao kuchambua hoja zao
Maana kunahoja zingine zinaletwa hapa na viongozi wetu wa dini ni dhaifu na zinamaudhui ya kisiasa Wakati mamlaka walizozivaa hazina ushirika na siasa, Wala kuonesha upendeleo Kwa Baadhi ya makundi
Kwani, ikiwa Dunia itashindwa kuunganisha watu,moja Kwa moja inakuwa hata wao wanahusika kuibomoa jamii Kwa sababu ya kule kuegemea upande
Wakati umefika wa kila mtu asitumie cheo chake kuleta hofu ya watu kujadiri kile mtu anawasilisha hapa, Wajisajiri Kwa majina Yao, kama ni Jambo la kushauri watumie hivyo vyeo vyao, na nafasi ya kushauri hawa watu, wanaruhusiwa kuingia popote pale kupeleka Ushauri wao,
Vinginevyo vinavyofanyika hapa ni siasa Tu hakuna lingine,
Mtu ukizungumzia vita, mkuu wa nchi anaweza kutangaza vita hata akiwa kijijini kwetu kule Kimokela kule, na vita vtapiganwa
Raisi, mahali popote aweza kwenda na akafanya kituo na mipango yote ikaanza kufanyika Kutokea hapo alipo,
Je kwani akiwa Tu Dar-es-salaam ndio mipango mizuri ya kivita itafanikiwa!!
Baba Askofu, Kwanza ni lazima kutofautisha vita vya Kagera vita ambavyo unapigana na kitu kinachoooneka,
Baba Askofu, nilidhani Kwa upande wenu kama watumishi wa Mungu,na Kwa vile vita hivi ni vya Kiroho, basi nyinyi ndio muwe maamiri Jeshi wa vita hivi, maana Biblia ninayoisoma Mimi, inaniambia, vita vya kiroho hupiganwa katika ulimwengu huo huo wa Kiroho, inakuwaje ninyi ndio mnaanza kulalamikia huu ulimwengu usioona chochote?
Mkuu pole kwakutoka kapa😂, maneno ya mzee huyu huhitaji vichwa kuyaelewa. Soma Tena na Tena😎Kwahiyo akija mkuu wa mkoa mwengine Corona itaisha au yeye ndio itakuwa dawa ya Corona au? inabidi dunia ibadilishe viongozi wote maana wameshindwa kuidhibiti Corona
Sent from Tapatalk
Kuna wengine hamuwezi kuelewa hata kwa picture.
Baba askofu anamanisha kuwa, hatukuchukua tahadhari yoyote. Lkn pia baada ya ugonjwa kuingia hatujajipanga kuushinda.
Leo hii wagonjwa wamejoficha ndani, majirani wanaogopa kutoa taarifa lakini wengine vifo vinawakuta bila kujulikana anaumwa Nini.
Mlipuko ni vita, ndio maana tunafanya mazoezi magumu wakati wa amani ili vita itakapotokea kupunguza vifo na majeruhi.
Hongera baba askofu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jambo moja ninalokusifu, ni uwezo wako wa kuielewa fasihi na falsafa ya Askofu. Wengi wameishia kufikiria anayelengwa ni Makonda.Jina Askofu/ Padri/ Shekhe na majina mengine yanayowakilisha mjumbe wa Mungu, ni majina makubwa Sana, yanaheshima ya kipekee, Ni majina yanayopatikana Kwa sifa ya kubeba mamlaka nyingine, ili kulinda hadhi ya jina Hilo na kuondoa ukakasi na kuwapa watu Uhuru wa kuchambua mada mfu zinazoletwa na viongozi wa Dini, ni Bora wajisajiri hapa Kwa majina Yao halisi au majina feki, hii itawapa nafasi hata wafuasi wao kuchambua hoja zao
Maana kunahoja zingine zinaletwa hapa na viongozi wetu wa dini ni dhaifu na zinamaudhui ya kisiasa Wakati mamlaka walizozivaa hazina ushirika na siasa, Wala kuonesha upendeleo Kwa Baadhi ya makundi
Kwani, ikiwa Dunia itashindwa kuunganisha watu,moja Kwa moja inakuwa hata wao wanahusika kuibomoa jamii Kwa sababu ya kule kuegemea upande
Wakati umefika wa kila mtu asitumie cheo chake kuleta hofu ya watu kujadiri kile mtu anawasilisha hapa, Wajisajiri Kwa majina Yao, kama ni Jambo la kushauri watumie hivyo vyeo vyao, na nafasi ya kushauri hawa watu, wanaruhusiwa kuingia popote pale kupeleka Ushauri wao,
Vinginevyo vinavyofanyika hapa ni siasa Tu hakuna lingine,
Mtu ukizungumzia vita, mkuu wa nchi anaweza kutangaza vita hata akiwa kijijini kwetu kule Kimokela kule, na vita vtapiganwa
Raisi, mahali popote aweza kwenda na akafanya kituo na mipango yote ikaanza kufanyika Kutokea hapo alipo,
Je kwani akiwa Tu Dar-es-salaam ndio mipango mizuri ya kivita itafanikiwa!!
Baba Askofu, Kwanza ni lazima kutofautisha vita vya Kagera, vita ambavyo unapigana huku ukimuona adui.
Baba Askofu, nilidhani Kwa upande wenu kama watumishi wa Mungu,na Kwa vile vita hivi ni vya Kiroho, basi nyinyi ndio muwe maamiri Jeshi wa vita hivi, maana Biblia ninayoisoma Mimi, inaniambia, vita vya kiroho hupiganwa katika ulimwengu huo huo wa Kiroho, inakuwaje ninyi ndio mnaanza kulalamikia huu ulimwengu usioona chochote?
Mkuu hiyo ni falsafa kama akili yako ni ya kama kina bashite na kibajaji ww pita tu.Kwahiyo akija mkuu wa mkoa mwengine Corona itaisha au yeye ndio itakuwa dawa ya Corona au? inabidi dunia ibadilishe viongozi wote maana wameshindwa kuidhibiti Corona
Sent from Tapatalk
Yani ukiwa na akili za kibavicha ni tabu tupu, kwa akili ya askofu anafikiri kwamba dunia yote imeshindwa kudhibiti corona sababu ya ubovu wa makamanda au wa wakuu wa mikoa.?
Angekuwa na akili angalau angeongelea hili suala kiimani zaidi, kwamba Mungu anataka tufanye nini katika nyakati kama hizi au hiki janga lina maanisha nini kiimani.
Lakini nae kaja na mipasho ileile ya kiufipa. Tabu tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio shida ya kula mataputapu ya kigogo!Kuna wengine hamuwezi kuelewa hata kwa picture.
Baba askofu anamanisha kuwa, hatukuchukua tahadhari yoyote. Lkn pia baada ya ugonjwa kuingia hatujajipanga kuushinda.
Leo hii wagonjwa wamejoficha ndani, majirani wanaogopa kutoa taarifa lakini wengine vifo vinawakuta bila kujulikana anaumwa Nini.
Mlipuko ni vita, ndio maana tunafanya mazoezi magumu wakati wa amani ili vita itakapotokea kupunguza vifo na majeruhi.
Hongera baba askofu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana tukasema na yeye anaakili za kibavicha!..Askofu amerusha mawe mawili.
..sijui kama uv-ccm wana upeo wa kuona hilo.
Ingekuwa inawezekana ningeaattach hapo juu hii hasa ndio maana ya askofu.Kuna wengine hamuwezi kuelewa hata kwa picture.
Baba askofu anamanisha kuwa, hatukuchukua tahadhari yoyote. Lkn pia baada ya ugonjwa kuingia hatujajipanga kuushinda.
Leo hii wagonjwa wamejoficha ndani, majirani wanaogopa kutoa taarifa lakini wengine vifo vinawakuta bila kujulikana anaumwa Nini.
Mlipuko ni vita, ndio maana tunafanya mazoezi magumu wakati wa amani ili vita itakapotokea kupunguza vifo na majeruhi.
Hongera baba askofu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawe kweli umeona umejibu hoja apo.....aaah. Sisi kwetu tuna msemo kua ukiona nyumba ya jirani ina ungua basi jirinde nawe usije ukaunguza ..Yani ukiwa na akili za kibavicha ni tabu tupu, kwa akili ya askofu anafikiri kwamba dunia yote imeshindwa kudhibiti corona sababu ya ubovu wa makamanda au wa wakuu wa mikoa.?
Angekuwa na akili angalau angeongelea hili suala kiimani zaidi, kwamba Mungu anataka tufanye nini katika nyakati kama hizi au hiki janga lina maanisha nini kiimani.
Lakini nae kaja na mipasho ileile ya kiufipa. Tabu tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana tukasema na yeye anaakili za kibavicha!
Sasa ni vipi kama tukisema kwa nafasi yake hakusimama vizuri ndio maana gonjwa limezagaa tutakuwa tunakosea?
Sijaona huo ujumbe wa askofu kama una maana, hili ni janga la dunia, sasa kote huko wamezembea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani ukiwa na akili za kibavicha ni tabu tupu, kwa akili ya askofu anafikiri kwamba dunia yote imeshindwa kudhibiti corona sababu ya ubovu wa makamanda au wa wakuu wa mikoa.?
Angekuwa na akili angalau angeongelea hili suala kiimani zaidi, kwamba Mungu anataka tufanye nini katika nyakati kama hizi au hiki janga lina maanisha nini kiimani.
Lakini nae kaja na mipasho ileile ya kiufipa. Tabu tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi za ujima ilibidi iwe hivyo... lakini pia ni muhimu kumlinda mkuu Kwa njia yoyote Ile... distance siku hizi sio issue unless kama Baraza lake kila likikutana inabidi wapeane hugs kabla na baada ya kikao.Hii ni Crisis. Wakati nikichukua mafunzo ya Crisis Management yaliotolewa na NATO, niliambiwa kukitokea Crisis yeyote, automatically mkubwa kuliko wote ndiye mkuu wa Crisis Management Team. Na huyu wakati wote anakuwa na Management yake wakati wote huku akipokea na kutoa maelekezo, na kufanya continuous assessment. Rais wetu ambaye ndiye mkuu wa Crisis Management Team yupo Chato, sina uhakika, yawezekana yupo huko na Baraza lake lote la Mawaziri.
Mkuu hv ukishakuwa huko kijani mnafutishwa bangi?
Ungejua unamjibu Nani? Ungeogopa Sana. Lkn jamii forum iko vile unajificha hujui unaongea na Nani.Ndio shida ya kula mataputapu ya kigogo!
Selikali imetoa mpaka namba ya kupiga ili kama unajihisi unadalili za corona au jirani yako upige waje kukuchukua kisha wewe unasema watu wanaogopa? Wanaogopa kitu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app