Source Nipashe
Mkuu tatizo akili ndogo wewe unakurupuka kuleta habari
Source Nipashe
Huyo askofu mwenyewe shetani watoto kila kona ya nchi halafu anasema haruhusiwi kuoa.
Leo Ndo unajfanya humjui mwigulu wewe kibaraka wake!!
Povu la nini? Mbona una hasira kama vile umenyimwa daku? Ulitaka ziletwe habari za kusifia mwenge wa zinaa? Au ulitaka uletewe habari ya kusifia ufisadi wa iptl, EPA, Kagoda, meremeta, richmond, na uchafu mwingine wa CCM ndo ufurahi?Mkuu tatizo akili ndogo wewe unakurupuka kuleta habari
Nipashe ni gazeti linalotumiwa na mawakala wa chadema
Comrade, kabla ya kuanza kumrushia maneno ya kejeli Askofu, jaribu kwanza kuangalia source ya habari.
Gazeti la Nipashe kwa uandishi wa habari za kisiasa liko mapacha na Tanzania Daima.
Mantiki ya tamko la Maaskofu wa kanisa katoliki Tanzania ni tofauti kabisa na habari zilizoandikwa na vyombo vya habari ambavyo ni midomo ya chama kilichokuwa kinaitwa CHADEMA ambacho viongozi wake kwa sasa wamekimbilia kwenye mwanvuli wa kikundi kinachojiita UKAWA.