Askari wavamia chuo cha Mzumbe huko Mbeya ucku wa kuamkia leo

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
11,556
7,085
Baadh ya askari wamevamia chuoni mzumbe na kupiga wanafunzi, wanafunzi hao walikuwa ndani ya eneo la chuo wakiendelea na disko lao wenyewe lakin ghafla askari walivamia eneo hlo na na kuwataka watawanyike haraka ndipo wanafunzi hao kwa kushirikiana na uongozi wa ulinzi wa chuo walipowahakikishia askari hao kuwa humo ni salama kabisa na wao wapo eneo lao la chuo lakini askari hao ndipo walipoamua kutumia nguvu kuwatawanya wanafunzi kwa nguvu. Walifanikiwa kuwapga walinzi wa chuo na wanafunzi.. Askari hao walidai kuwa Chadema ndo source ya migomo hvyo wanaanza kuizuia vyuoni.. Wanafunzi hao wamelaani kitendo hicho na wameahid kupambana na askari hao hadi kieleweke.. Mpaka muda huu hali ya usalama si nzuri kwan bado milipuko ya mabomu inaendelea.

Chanzo: Wanafunzi wa Mzumbe University, Mbeya Campus.
 
mh..hapa arusha makelele mtindo mmoja magamba wanajaribu kuwaliwaza wananchi kwa burudani iliyoanza asubuhi sana..
 
Mlioko Mbeya endeleeni kutupa hali ya uslama ya mji wa mbeya na hali ya majeruhi waliopigwa mabomu na risasi za moto,hasa fuatilieni hali ya mtoto aliepigwa mabomu ya machozi na mashetani hawa wa POLICCM,tujuzeni tuhabarike hii itatusaidia kutafakari namna ya kupambana na hali hii kwa vitendo na kuhakikisha inakomeshwa.
Mungu wasaidie wale wote waliopigwa na dola uchwara hapo mbeya.wanafunzi poleni nanyi kwa yaliyowapata,lakini you need to think twice
 
hao wanafunzi wa mzumbe wanatakiwa wakomae na hao polisi hadi kieleweke-wanatakiwa waanze maandamano sasa
 
Bora kubomoa kabisa tuanze ujenzi upya!! Hatutapiga hatua mbele tukiendelea kusuruhishana kwa mtindo wa ngeo na kuwekana mahabusu.
 
Hawa Polisi mbona wanashindwa kuzuia wahamiaji haramu lakini swala la kutawanya watu wako mbele sana. Migomo ni dalili mbaya wahusika tutatue matatizo kwa amani.
 
"kimbilio la waliofeli ni ...................... na upolisi" by ROMA, duh!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
"kimbilio la waliofeli ni ...................... na upolisi" by ROMA, duh!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mods naomba mruhusu matusi kidogo maana huyujamaa nimemtukana saaana lakini vidole vimesita kuandika. ms******sana wewe.
 
Back
Top Bottom