Ila mwanajeshi akifungwa anaenda Military prison. Wana mahabusu na jela zao.Magereza ni Jeshi imara sana la kimya kimya! Wewe fikiria tu Polisi yoyote yule, Jwtz yeyote yule akifungwa anaenda gerezani! Sasa huko gerezani hao askari wanaokaa nao wanakiwango gani cha mafunzo.....Jiulize tu! Na je ushawahi kusikia wafungwa wamewashinda askari Magereza!?
Anyway acha wachapane
HAPO ni mwendo wa kuviziana ataetembea alone ameisha jw au magWe subiri IVECO zikajazwe mafuta.
Hamna kitu kama icho mahakama ikumtia hatiani anafukuzwa kazi na akufungwa jela za kawaida ila hapo hapo military prison ziko wap hapa tz ?? jibu ni hakuna issue kama izo sana sana kuna sero ambazo huwa wanawekwa ikitokea kuna utovu wa nidhamuIla mwanajeshi akifungwa anaenda Military prison. Wana mahabusu na jela zao.
Jw nao siku hizi wamekuwa mdebwedo sanaa. WabadilikeWametwanga mzee na wajela jela ilikuwa kichekesho,,,mijela jela ilikuwa inapinga ka mwanga wa tochi gizani sikuamini kama yako fit kiwango kile
umeninukuu vibaya mkuu mi sijahusisha vyeo na ukamando Bali nimenukuu manano ya yule mnyetishaji kwenye hafla za taifa pitia TBC kwamba Tanzania makomando wanapatikana JWTZ. Kwaiyo kama wewe au kikundi flani toka taasisi yeyote mnaopiga tikondo, na martial art vizuri hakuwapi kigezo cha kujiita macommando.Fikra potofu hizo ukomandoo Ni mafunzo maalum ya kupambana na kujihami na maadui, kuvuka vikwazo mbalimbali na si vyeo, komando huwezi mjua kwa sura au tabia Bali Hadi utokee mtiti ndipo utaweza note kitu tupo nao kitaa na Ni watu very humble
Bora umemsaidia tuFikra potofu hizo ukomandoo Ni mafunzo maalum ya kupambana na kujihami na maadui, kuvuka vikwazo mbalimbali na si vyeo, komando huwezi mjua kwa sura au tabia Bali Hadi utokee mtiti ndipo utaweza note kitu tupo nao kitaa na Ni watu very humble
Hapo watakuwa wameandikiwa faini ya kupigana bila lesseniLingekuwa gazeti, mambo yangukuwa hivi..
"Askari JWTZ, Magereza watupiana makonde, Trafiki waamulia!
anaongea kama kanywa togwa...makomando habari nyingineWalitumia kigezo gani???Ndugu yangu makomandoo sio habari ya kubumba
Nilishangaa demu mchovu na mgonjwa eti nae alifuzu mafunzo jwtz kwa sasa yupo TwalipoJw nao siku hizi wamekuwa mdebwedo sanaa. Wabadilike
mbana mchumba tu uyu...hayo mavazi ndo yanakutisha..hand to hand combat lazima akimbie huyu
uongo huoNa gereza lenye watu elfu ishilini linalindwa na askari magereza Sita tuu
Wewe mkweli wanalinda wanangap?uongo huo
Unadhani walioweka vigezo vya Kijeshi ni Wajinga?? Angalia Maaskari kote duniani walivyojengeka miiili yao unadhani waliowadahili ni Hopeless? Hujui kaaa kimiaSasa urefu wako utakusaidia mbele ya drone za Mmarekani? Hopeless kabisa!!
Mkuu kumbe unawajua hao Majitu..... Jamaaa wooote miiiili yao kama Great Kaliii ni habari nyingine hicho kikosi. Anyway tuishie hapoMagereza kuna kikosi hatari sana CHA Kikosi cha kupambana na ghasia magerezani (KMKGM,) wanavaa tisheti za kijani na wakivaa gwanda wanakuwa na alama ya bluu mabegani, wale ni hatari tupu.
hakuna ujinga wa hivo..sema gereza gani linawatu ata 200 tu af walinde askari sita..?ukishiba togwa lala sio lazima ukomentWewe mkweli wanalinda wanangap?
Toa jibu wanalinda wangapi sio kupinga halafu hujui wanalinda wangap?we
hakuna ujinga wa hivo..sema gereza gani linawatu ata 200 tu af walinde askari sita..?ukishiba togwa lala sio lazima ukoment
Muda mwingine ukiambiwa shirikisha na ubongo wako ukifanya mazoezi hakuna kinachoshindikana usikariri kila kitu.umeninukuu vibaya mkuu mi sijahusisha vyeo na ukamando Bali nimenukuu manano ya yule mnyetishaji kwenye hafla za taifa pitia TBC kwamba Tanzania makomando wanapatikana JWTZ. Kwaiyo kama wewe au kikundi flani toka taasisi yeyote mnaopiga tikondo, na martial art vizuri hakuwapi kigezo cha kujiita macommando.
Mkaji rejeste pale ngele ngele mkitoka salama basi mtakuwa mmefuzu. Maana hapa nchini tusifanganyane hakuna taasisi inayatoa mafunzo mazito na makali kama jeshini.
Captain dagaa anakwambia tu kima umbile mwanamke hawezi kuwa commando hata iweje, lakini majeshi mengine uko unakuta mtu anajiita commando, na ndani wana wake wamo. Ambapo hata uko jwtz penyewe hawapo.
Pia uwezo wa kutumia na kucheza na silaha za kijeshi nimuhimu pia kuutazama
Kwa kummalizia kituo cha mafunzo ya makomondo Tanzania tunachokijua kipo ngerengere kama kuna kingine tusaidizane kuvitambua
Ova
Waache wauane na sisi huku mtaani hatuko salama, ningesikitika kama RAIA ndiye amepigwa ni katikati ya mwezi wana ration wamejaa mifukoni wameshiba hao mkuu.Maeneo ya Buguruni askari wa JWTZ 3 wametwangana na askari magereza
Walianza kurushiana maneno kati ya wale wanajeshi 3 na askari magereza mmoja ndipo wakaanza kurushiana makonde baada ya askari magereza kuona anataka kuzidiwa akapiga simu ndipo baada ya muda mfupi wakatokea majamaa wawili wamevaa T-shirt za kijani nadhani za magereza,,,duh!!
Sikiuamini kama magereza wanajiamini vile kiufupi wameonesha umahiri,wamewachapa wale mabaka baka hadi mmoja nadhani jicho litakuwa limetolewa maana linaonekana kama limechanwa kabisa.
Wametokea traffic wameamua ugomvi na kumchukua mwanajeshi majeruhi hospitality nadhani
Nimesikitika kwanini askari wetu wadhalilishane mbele za RAIA?? Vijana wa kileo wanaoajiliwa maadili hakuna