Hili ni la kuchekesha we unasikitikaje?
Matukio kama haya ndio yanafanya mtaa uchangamke....mie huwa nikikuta hivi njiani nasimama hadi mwisho wa show
Waachane wapashe maana tunaambiwaga hata gari likikaa muda mrefu halijawashwa, injini lazima isumbue Siku ya kuwasha linakua la kutegeshea kitonga
😂😂😂😂hii ndiyo sababu inayonifanya nisitembee na jinsia ke kuelekea popote pale!!mna mambo mengi kweli.
Nawewe unasimama kushuhudia ugomvi
😂😂😂😂kwa kweli utajikuta upo mwenyewe,manake najua ukimaliza kuangalia ugomvi utaanza na kutafuta chanzo ni nini ukija kushtuka masaa yashakatika ....wanawake salute kwenu.
Chanzo ilikua nini mkuu ukute mademuMjwtz aliyewekwa kati kati ya mapaji na jipande la magereza kila nkifimfikiria nacheka xana,,alitoa macho na uwezo wa kuwaamua tukawa hatuna mpaka walipofika traffic kuwatuliza
Hiyo tunaita mechi ya kujipima uwezo.Maeneo ya Buguruni askari wa JWTZ 3 wametwangana na askari magereza
Walianza kurushiana maneno kati ya wale wanajeshi 3 na askari magereza mmoja ndipo wakaanza kurushiana makonde baada ya askari magereza kuona anataka kuzidiwa akapiga simu ndipo baada ya muda mfupi wakatokea majamaa wawili wamevaa T-shirt za kijani nadhani za magereza,,,duh!!
Sikiuamini kama magereza wanajiamini vile kiufupi wameonesha umahiri,wamewachapa wale mabaka baka hadi mmoja nadhani jicho litakuwa limetolewa maana linaonekana kama limechanwa kabisa.
Wametokea traffic wameamua ugomvi na kumchukua mwanajeshi majeruhi hospitality nadhani
Nimesikitika kwanini askari wetu wadhalilishane mbele za RAIA?? Vijana wa kileo wanaoajiliwa maadili hakuna
Hao ni (KM) ni sawa na (FFU) au (MP).
Alafu kuwa mwanajeshi au askari wa jeshi lolote haimaanishi ndio unajua kupigana.
Kupigana ni uwezo wa mtu binafsi.
pia wanashinda na wafungwa.....watu waluokata tamaa.....lazima awe vzr ktk kujihami bila silahaaskari magereza lazima wawe vizuri think watu walioshindikana huku mtaani wao ndio wanaishi nao, unategemea watakuwa ni watu wa mchezo mchezo
Maeneo ya Buguruni askari wa JWTZ 3 wametwangana na askari magereza
Walianza kurushiana maneno kati ya wale wanajeshi 3 na askari magereza mmoja ndipo wakaanza kurushiana makonde baada ya askari magereza kuona anataka kuzidiwa akapiga simu ndipo baada ya muda mfupi wakatokea majamaa wawili wamevaa T-shirt za kijani nadhani za magereza,,,duh!!
Sikiuamini kama magereza wanajiamini vile kiufupi wameonesha umahiri,wamewachapa wale mabaka baka hadi mmoja nadhani jicho litakuwa limetolewa maana linaonekana kama limechanwa kabisa.
Wametokea traffic wameamua ugomvi na kumchukua mwanajeshi majeruhi hospitality nadhani
Nimesikitika kwanini askari wetu wadhalilishane mbele za RAIA?? Vijana wa kileo wanaoajiliwa maadili hakuna
hahahaha nimefurahi sana vijana wa mabaka kuchapwa, wanadhani wao ni kila kitu, TUHESHIMIANE SISI WOTE TUNAJENGA NCHI MOJA TANZANIA! HAMNA BORA WALA ANAYESTAHILI ZAIDI YA MWINGINE.Maeneo ya Buguruni askari wa JWTZ 3 wametwangana na askari magereza
Walianza kurushiana maneno kati ya wale wanajeshi 3 na askari magereza mmoja ndipo wakaanza kurushiana makonde baada ya askari magereza kuona anataka kuzidiwa akapiga simu ndipo baada ya muda mfupi wakatokea majamaa wawili wamevaa T-shirt za kijani nadhani za magereza,,,duh!!
Sikiuamini kama magereza wanajiamini vile kiufupi wameonesha umahiri,wamewachapa wale mabaka baka hadi mmoja nadhani jicho litakuwa limetolewa maana linaonekana kama limechanwa kabisa.
Wametokea traffic wameamua ugomvi na kumchukua mwanajeshi majeruhi hospitality nadhani
Nimesikitika kwanini askari wetu wadhalilishane mbele za RAIA?? Vijana wa kileo wanaoajiliwa maadili hakuna
HAPA NDIPO ASKARI WENGI WANAPOJICHANGANYAHao ni (KM) ni sawa na (FFU) au (MP).