Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,360
- 2,389
kusoma anaona kichina hata picha hawezi kuangalia?Kama nawewe umeshiriki kwenye mauaji damu yake iko juu yako. Yaani pamoja na kujitosheleza kwa taarifa baxo unasema imekaa kiudaku udaku?
kusoma anaona kichina hata picha hawezi kuangalia?Kama nawewe umeshiriki kwenye mauaji damu yake iko juu yako. Yaani pamoja na kujitosheleza kwa taarifa baxo unasema imekaa kiudaku udaku?
habari imekaa kiudaku daku
kuuwawa kwa kuchinjwa,kupigwa risasi sio mauaji ya kutisha..wapo pia waliobanwa makende hadi yakapasuka na hatimae kufa bado ni mauaji ya kupendeza?mauaji ni mauaji tu hata iwe ya kupewa pipi tamuSasa mauaji gani ya kutisha hapa!!
Angalia picha ya marehemu Mwangosi ndo utagundua yepi ni mauaji ya kutisha!