Mbona hiyo video kwangu inaonyesha huyo mkamatwaji alikuwa tayari kashakubari kukamatwa na ndio maana hata mikono yake kwapamoja alikuwa kaiweka kwenye kibamia chake hapo haikupaswa kabisa traffic kuanza kumrushia makonde mtu ambae tayari ni mateka na inavyoonyesha yote aliyokuwa anayafanya traffic alijua nikinyume kabisa na ndio maana wakati anafanya kitendo kile alikuwa anapapasa macho yake kila mahari ili kuona ka kunawatu wanamtazama na baada ya kugundua kunawatu wanamtazama akapunguza speed ya kutwanga makonde na kusingelikuwa na watu wanaomtazama jamaa angeenda kusimulia ahhhhhh