tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 25,956
- 25,347
Kila mtu akitimiza wajibu wake huwezi kulalamika, soma kanuni za ukaguzi wa magari na weka kila kitu kinachotakiwa kuwepo, usumufu kama huu hauta upata. tatizo na sisi tunapenda sana mteremko ndio maana trafic wanatajirikia kwetu.
mkuu, traffic police akikukamia hakosi kosa---atalazimisha mpaka kosa lipatikane.