Askari wa tigo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askari wa tigo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Big One, Nov 2, 2011.

 1. Big One

  Big One JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 759
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  hivi hawa ndugu zetu mbona wanaendekeza njaa sana wakiona mtu anaendesha chombo cha moto wanataka kumkamata cjui ni wivu unaowasumbua yani wananuka rushwa tupu utawaona wanakagua kila kitu ili mradi wakutafutie kosa kiufupi wanaboa sana nasema hvyo yamenikuta ful kutafutiana makosa
   
 2. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  wako kazini!
   
 3. M

  MKWELIMAN Senior Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 125
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  kwa navyojua kuwa askari tigo waliandaliwa kwajili ya ulinzi (mobile) kwa ajili ya mali ya wananchi na kuzibiti ujambazi lakini inashangaza kuwa wao wanafanya kazi ya traffic ..................... na0mba viongozi wetu husika wawaelimeshe hao askari tigo kuwa kazi yao nini sio wanatusumbuwa mwisho wake tutawachukulia hatua kwa njia zetu tunazozijua maana ni kero kubwa kwa jamii sasa kwa jumla
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,184
  Trophy Points: 280
  hao ni TRA wa wakubwa polisi. Kila siku wanapoeleka hesabu ya sh.100,000/= kwa bosi, ukishindwa, kesho huna pikipiki
   
Loading...