Askari wa TAWA auwawa

Askari wa TAWA auwawa

Dah sasa hivi wanajuta. Normal life waliokuwa wanaishi hawataweza tena kuishi hivyo milele. Nawaonea huruma hawataacha kuona kila rangi. Hasira hasara. Haya majitu unamwachia mungu tu ni makatili balaa yani yatakavyolipiza kisasi.
Tupia picha pendwa kutuliza maumivu ya huu msiba.
 
Kama taifa tufike sehemu tukatae huu ufugaji wa kuhamahama usio wa kisasa. Wafugaji ni chanzo cha mauaji mengi nchini. Bora tuwe na ng'ombe wachache wanaofugika kisasa kuliko maelfu ya ng'ombe wanaoleta tafrani kwenye kuwafuga.
 
Hao TAWA ndiyo walioleta chuki kwa wananchi ndiyo maana huko ngorongoro wameua SIMBA 10.

Badala ya kukaa chini na kutatua mgogoro wao ndiyo wanazidi kuweka petrol kwenye MOTO.

Kitendo cha kusema wanawatafuta waliotenda hayo maana hapo ndiyo wanaweka chumvi kwenye kidonda kIbichi.
 
Tupia picha pendwa kutuliza maumivu ya huu msiba.
Screenshot_20260919_094518_Instagram.jpg
 
Haya maisha, kuna wakati mwingine busara inahitajika sana katika kutoa maamuzi, wangetafuta mbinu nyingine kuliko kushikilia mfugo.
 
Dah sasa hivi wanajuta. Normal life waliokuwa wanaishi hawataweza tena kuishi hivyo milele. Nawaonea huruma hawataacha kuona kila rangi. Hasira hasara. Haya majitu unamwachia mungu tu ni makatili balaa yani yatakavyolipiza kisasi.
Hivi unahisi watu watakaa kinyonge pia?
 
Hakuna sehemu nimeona raha,ni kwamba namuonea huruma mwananchi ambaye ,Hana silaha, Hana pingu,hana mamlaka, Hamiliki mahabusu.

Hapo tegemea watu kufa,watu kupotea bila sababu,pamoja na watu wengi kuswekwa selo bila ushahidi.

Inawezekana waliofanya hayo ni kikundi cha watu wachache,lakini wanaokuja kuathirika ni wengine ambao hata hawakushiriki kufanya unyama huo.

Wananchi tunapaswa kujua kuwa tunatakiwa kuishi Kwa kufuata Sheria na taratibu kuliko kujichukulia sheria mkononi,watakaoumia na kulipa ni watoto wetu na vizazi visivyohusika.
Sheria batili na uchwara, watu wanechokaa.
 
Dah sasa hivi wanajuta. Normal life waliokuwa wanaishi hawataweza tena kuishi hivyo milele. Nawaonea huruma hawataacha kuona kila rangi. Hasira hasara. Haya majitu unamwachia mungu tu ni makatili balaa yani yatakavyolipiza kisasi.
Tangu mifugo yao ichukuliwe normal life haikuwepo. Wewe unaangalia tukio la uvamizi, wenzako walienda kichukuwa mifugo yao.
 
View attachment 3674339
Askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) anayefahamika kwa jina la Gift Eliaika (34) mkoani Tabora (pichani), ni miongoni mwa watu sita waliouawa baada ya baadhi ya wananchi kuvamia kambi ya askari waliokamata mifugo ya wananchi kutokana mifugo hiyo kudaiwa kuingia hifadhini mkoani humo.

Katika taarifa ya jeshi la polisi mkoani humo ambayo imetolewa kwa umma Septemba 19, 2026, imesema kuwa wananchi hao walifanya uvamizi huo wakiwa na silaha za jadi wakishinikiza wapewe mifugo yao iliyokamatwa.

Kadhalika, inaelezwa kuwa tukio hilo pia limesababisha majeruhi ya watu watano, huku silaha ya kivita aina ya AK47 pamoja na gari aina ya Toyota Land Cruiser kuchomwa moto.
Watakuwa wamehamasishwa na wanaharakati?
Hakuna pesa kutoka nje iliyotumika kuwalipa kweli?
Au hao wachomaji walitoka nje ya nchi?
Siyo kwamba wanatuonew wivu na rasilimali zetu kweli?
Au waliwekwa kwenye makambi na kupewa mafunzo kabla
All in all alipata alichostahili akapumzike panapomstahil
 
Tangu mifugo yao ichukuliwe normal life haikuwepo. Wewe unaangalia tukio la uvamizi, wenzako walienda kichukuwa mifugo yao.
Mkuu labda hujanielewa. Siwatetei hao askari barbarians. Ila nawaonea huruma hao wafugaji. Retaliation itakuwa ya kikatili sana hadi watajuta.
 
Back
Top Bottom