GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,852
- 109,552
Makalioni ( Unyabengani ) Kwako au?Kuna fuse zimelegea
Nlitaka kusema kwa hao matrafiki ila hii reply Yako imekuongeza kwenye listMakalioni ( Unyabengani ) Kwako au?
Kuwapiga ingekuwa kesi kubwaNilianza kufurahi nikajua kawapiga kumbe kawakimbia
Kuwakimbia na gari kubwa ni ngumu zaidiKuwapiga ingekuwa kesi kubwa
Hii kali kulikoooo.....Nlitaka kusema kwa hao matrafiki ila hii reply Yako imekuongeza kwenye list
Cc Askari Wapuuzi Kituoni Ubungo SIMU 2000.Ni watu kubadilika tu, amefanya kosa mwandikie faini na namba ya malipo basi inatosha; haya mambo yakusimamishana na kuanza kufanya majadiliano au kuweka mazingira ya takrima hayana tija.
Uhai muhimu zaidi, hela tunaziacha; tusiwe watumwa wa hela.