Askari wa JWTZ aliyefariki Tanga Azikwa

Jamaa hata mungu anae msema ana mulinda hamjui na yuko mbali nae.maneno yamungu yana sema mpende jilani yako ka unavo jipenda .sasa ni mungu yupi anae sema acha auawe nduguyo.
 
jamani huyu si kafa kishujaa akitetea taifa lake? mbona anazikwa kimya kimya bila kupigiwa mizinga? au labda mimi sijui hayo mambo? na kwanini hawajamuonesha shujaa wetu aliyekuwa anatetea wananchi wake hata tumjue?
 
Ina aminika silaha zilizoibwa Polisi na kutumiwa na magaidi feki wa CCM pale Tanga zilijibadilisha kutoka silaha nyepesi kuwa nzito na kulazimu kuita Jeshi la Wananchi lije na silaha nzito!! ha ha ha ha !! CCM bwana~!

Kwanza nilivyomuna tu Changonja nikajua hapa movie. Kuna watu wawili nikiwaona tu hao kwenye issue yoyote najua akina Kanumba cha mtoto hao ni Chagonja na mwenziwe Kova mtoto wa Dar, hao wazee wa karata 3. Wazee waongo hao hata macho hawapepesi. Huwa wanachomekewa huko kusiko na jina bali wenyewe huwa wanaita ngazi za juu. Wanakujaga na hekaya za kizamani sana bila kujua huko wanakolala ndio sisi tumeamkia. Bado wanaishi dunia ya gazezi la mzalendo na vichekesho vya kina chakubanga, bila kujua siku hizi dunia ni digital. Wanaongea mambo mpaka unajiuliza hawa wazee wako sawa kweli. Ukikutana na vijana wao wa jeshi la polisi mpaka wanapata hasira jinsi wazee wanavyowapeleka kizamani. Ila ndio hivyo huko jeshini wanasema hakuna kuhoji ni kutekeleza kwanza longolongo baadae. Wenyewe wanajua mambo mawili tu nchi hii chadema na magaidi mwisho wa habari. Haya mambo mengine sijui mbinu za kisasa unawachanganya maana hata kugoogle kwenye internet kwao ni janga.

Kwa hiyo usishangae ukiona wanaleta mambo ya namna hiyo, ila ni sisi wenyewe ndio tumeruhusu viongozi wasanii wakakaa madarakani hivyo hawataki weledi bali mazoea ili wapige deal, na huwa wanaamini sisi waafrika hatujui kitu bali wazungu. Ngoja wamuone mzungu hata kama hajui kusoma na kuandika nakwambia kwenye kiti watampisha. Na wazungu si unajua wanatujua kwamba tunawatetemekea wanapiga deal wanavyopenda nchi hii. Ole wako sasa umguse mzungu akipiga simu tu wanamuuliza nani anakusumbua, akikohoa tu utaona PT zimeshehena maaskari tayari kwa kipigo.
 
Pamoja Na Kwenda Na Makombora Yenu Ya Msaada Kutoka China Na Marekani, Magari Sijui VX Na Misafara Ya Askari Wa Kila Aina Kuna Jangili Hata Mmoja Wamemkamata? Ninavyowadharau Hawa Watu Usifikiri Kuwa Nakosea Bali Namaanisha Kuwa Uimara Wa Vikosi Vyetu Vya Ulinzi Na Usalama Kwa Sasa Nchini Tanzania Unatia Mashaka Na Kuna Upuuzi Na Uzembe Mkubwa Unaofanyika Humo ILA Nyie Kwakuwa Mmekuzwa Ki BRN Hamwezi Kutambua Kitu. Ingekuwa Ni Nchi Zenye Ueledi Na Nidhamu Ya Kazi Kwa Tukio Hili Tu Mkuu Wa TISS Na Hata Wa Jeshi La Polisi Wangewajibika Kwa Uzembe Ambao Kama Idara Zao Zingekuwa Makini Yaliyotokea Amboni Kamwe Yasingejiri Na Bado Wanapeta Tu Huku Watanzania Wakitaabika Huko Tanga.

Ndugu yangu upo sahii kwani ingekuwa ni maandamano ya wapinzani intelejensia yao ingekuwa ishafanya kazi tayari.
 
Askali wanavuna walicho panda. Kila wapinzani wakitaka kuandamana wanapigwa as if kuna kosa kubwa wamefanya. Siku zote jeshi la polisi limekuwa likionea wananchi kwa kuwapiga bila sababu. Hasira zilivyo jengwa baina ya polisi na raia siwezi kutoa taarifa yoyote kwa kuwa wametufanya raia tuone askali kuwa ni adui. Sasa nikiona hao wawe ama majambazi au magaidi, naona raha kwamba sasa tuone mchuano halisi.
Hebu fikiria wananchi bila silaha wanaandamana wanapigwa kama vile ni makundi ya Islamic state Vs America
Sasa tunapo ona hao wa Tanga wanafanya vitu vyao dhidi ya polisi nasi tunafurahi kwamba angalau wamepata size yao.
 
Askali wanavuna walicho panda. Kila wapinzani wakitaka kuandamana wanapigwa as if kuna kosa kubwa wamefanya. Siku zote jeshi la polisi limekuwa likionea wananchi kwa kuwapiga bila sababu. Hasira zilivyo jengwa baina ya polisi na raia siwezi kutoa taarifa yoyote kwa kuwa wametufanya raia tuone askali kuwa ni adui. Sasa nikiona hao wawe ama majambazi au magaidi, naona raha kwamba sasa tuone mchuano halisi.
Hebu fikiria wananchi bila silaha wanaandamana wanapigwa kama vile ni makundi ya Islamic state Vs America
Sasa tunapo ona hao wa Tanga wanafanya vitu vyao dhidi ya polisi nasi tunafurahi kwamba angalau wamepata size yao.

Hapo kwenye red mbavu zangu sina...............tehetehete:heh::heh:
 
maandamano ya cuf walizima mbona hao policcm acha waipate fresh wamezidi dhulma na uonevu malipo hapa hapa duniani
 
Hakuna Mwanajeshi huko mwenye jina hilo. Hiyo ni Sinema ya kitoto tu. Na picha yake hamtaonyeshwa ng'oooo!
 
Kuna mwenye Picha yake tujue anafananaje? Ngoja tusubiri jioni kwenye Taarifa za Habari!!

Mkuu naskia wamewakataza wandishi wa habari kama kumalizika kwenda uwanja wa vita. Na ma Dr. wapepigwa stop. Huenda wamezika mgomba.
 
Hakuna hata picha ya tukio la mazishi?ili niamini tajeni hapa namba yake na picha nione.lkn ngoja niendelee kutafuta ukweli,maana moja ya msema kweli jeshini kuna kitu kinaitwa Part one order,kama imesoma basi nitakubali,lkn mpaka isome na chazo cha kifo.
Nitarudi baadae.

Una akili wewe, kama mcharooooo
 
“Sisi tunafahamu, ndiyo maana askari wetu tumeshawaambia kuwa sasa hakuna kuning’iniza silaha begani… sasa silaha iwe mkononi wakati wowote kwa mapambano,” alisema Waziri Chikawe na kuongeza kuwa juhudi zaidi zinaendelea kufanyika ili kulinda usalama wa raia na kuifanya Tanzania ibaki kuwa kisiwa cha amani.

Maelezo hayo hapo juu ni kuwaagiza policcm wapige tu wananchi na sio kupambana na adui. Adui yao ni CUF na CDM NA NCCR. Hizi Movie zenu ccm ni upumbavu, Jipangeni na chagonjwa wenu upya.
 
Back
Top Bottom