Askari wa JWTZ aliyefariki Tanga Azikwa

Pamoja Na Kwenda Na Makombora Yenu Ya Msaada Kutoka China Na Marekani, Magari Sijui VX Na Misafara Ya Askari Wa Kila Aina Kuna Jangili Hata Mmoja Wamemkamata? Ninavyowadharau Hawa Watu Usifikiri Kuwa Nakosea Bali Namaanisha Kuwa Uimara Wa Vikosi Vyetu Vya Ulinzi Na Usalama Kwa Sasa Nchini Tanzania Unatia Mashaka Na Kuna Upuuzi Na Uzembe Mkubwa Unaofanyika Humo ILA Nyie Kwakuwa Mmekuzwa Ki BRN Hamwezi Kutambua Kitu. Ingekuwa Ni Nchi Zenye Ueledi Na Nidhamu Ya Kazi Kwa Tukio Hili Tu Mkuu Wa TISS Na Hata Wa Jeshi La Polisi Wangewajibika Kwa Uzembe Ambao Kama Idara Zao Zingekuwa Makini Yaliyotokea Amboni Kamwe Yasingejiri Na Bado Wanapeta Tu Huku Watanzania Wakitaabika Huko Tanga.

Akili yako haikutoshi,suala la ulinzi si wa kova au kikwete ulinzi ni wa kila mtu,watu wanavamia US na kufanya uharifu sembuse tanga,sio kila jambo la kulaumu tuu ili mladi umelaumu na unalaum kwa sababu serikali ni ya ccm,foolish
 
-- Tukumbushane, kama mnakumbuka miaka ile ya mwanzo ya utawala wa JK yalikuwepo mambo kama haya kuibiwa kwa mabank, ile sinema ya pale Ubungo mataa kuibiwa kwa hela za benk zilizokua zinapelekwa NMB Wami Moro.
-- Kile kikosi cha Wajaluo wa Sarungi kule kule Shirati, na mengine mengi. Naamini magogoni wana episode zote za movie hii.
-- Ukiona hivi juo ndo Mkwere anaondoka Ikulu, anatoka kama alivyoingia

mkuu tutake radhi sisi wana kanda maalum Rorya,huwa hatuna tabia ya udokozi kwa kutumia mguu wa kuku.
hii sinema peleka huko magogoni sisi huku kanda maalum ni kukaza buti katika ujenzi wa taifa
 
Nilivyooona huu uzi wako nikaja mbio nikiamini hatimae ninaweza kuona kaushahidi kadogo tu ili moyo wangu uanze kupungua shaka.. Lakini nimekutana na yale yale.. Habari zisizo na hata chembe cha ushahidi..

Bado ninasubiri ushahidi..
Endeleeni na mizaha yenu ya kitoto, Ila Afande Said tumempumzisha leo.
 
Ilitegemewa kwa "tukio hili kubwa taarifa ya serikali itolewe na waziri wa mambo ya ndani au itoke ikulu. Lakini kimya ila ni migongano ya kauli toka kwa makamanda
 
Kumbe mmemuua makusudi maana ni Mungu pekee aliye na uwezo wa kumpumzisha binadamu sisi.

Nachukia sana wapumbavu kama wewe mnaofanya mizaha kuhusu Kifo, Afande Said amelala kwenye nyumba yake ya milele leo, Na wewe kuna siku utalala huko, sidhani kama utapenda ufanyiwe mizaha hivi. Ujinga sana! ....
 
Sasa mnashindwa kuweka hata picha ya marehemu Afande Said au hata picha kuhusiana na mazishi yake au picha ya msibani kuonyesha waombolezaji wakiomboleza kifo cha huyu afande? Kafa kishujaa huyu kwanini azikwe kimya kimya bila hata sherehe maalum za kijeshi katika mazishi yake? Kulikoni? Hebu tupiamo japo kapicha hata kamoja.

Nachukia sana wapumbavu kama wewe mnaofanya mizaha kuhusu Kifo, Afande Said amelala kwenye nyumba yake ya milele leo, Na wewe kuna siku utalala huko, sidhani kama utapenda ufanyiwe mizaha hivi. Ujinga sana! ....
 
Mhhhhhh!!! Picha inaharibu vipi upelelezi? Swala nyeti la Taifa ambalo wenye nchi hawatakiwi kutaarifiwa karibu wiki nzima sasa!? Mbona nchi za wenzetu maswala nyeti kama haya yanayohusiana na magaidi yanawekwa hadharani mara tu yanapotokea na hayaathiri upelelezi kwa namna moja au nyingine!?

itaharibu upelelezi hili ni "swala nyeti" la usalama wa taifa.
 
Mimi Silindwi Na Wanajeshi Wenu Bali Nalindwa Na Malaika Wa Mwenyezi Mungu Na Najilinda Mwenyewe Pia Sawa? Mbwiga Mkubwa Weye! Wao Ni Nani Wasife? Tena Nawalaumu Mno Hao Sijui Majangili au Magaidi Kwa Kuua Tu Huyo Mmoja Kwani Mimi Nilitaka Wawaue Wote Ili Wakome. Battle Ndogo Tu Hiyo Tunahanya hanya Na Kuhangaika Je Zingine Zitakuwaje? Mr. Misifa Wenu Mwakibolwa Mbona Hajaenda Sasa Huko Amboni Tanga? Mnadhani Magaidi Ni Sawa Na M23? Hivi Kama Wewe Una Akili Na Unajifanya Unayajua Masuala Ya Medani Za Kivita Ambaoni Tanga Ni Kwa Kuwapeleka Wanajeshi? Kulikuwa Na Ugumu Gani? Ndiyo Maana Na Wao WAMETUSAMBAZIA UPENDO Kwa Ku Mdedisha Huyo Mjeda Kwani Na Wao Walikurupuka Na Wakome Siku Nyingine.

Kauli za viongozi wakubwa ndizo zinatuletea balaa mfano "wapigwe tu" "nendeni kwenye maandamano na watoto na wake zenu" saizi wana hitaji sympathy ya hao waliosema wapigwe tu!
Hii jeuri ya viongozi wa Umma ndio inawafanya Walalahoi kuwa na mioyo migumu pindi majanga yanapo warudi tabaka linalo nyanyasa walalahoi
 
Nachukia sana wapumbavu kama wewe mnaofanya mizaha kuhusu Kifo, Afande Said amelala kwenye nyumba yake ya milele leo, Na wewe kuna siku utalala huko, sidhani kama utapenda ufanyiwe mizaha hivi. Ujinga sana! ....
Matusi hayatakusaidia kitu sana sana yanakuonyesha ulivyo mtupu, wewe jenga hoja ni kwa nini mmempumzisha haraka kiasi hicho shujaa wetu bila hata kumpa heshima inayotakiwa kama askari wengine?
 
Back
Top Bottom