Askari wa JWTZ aliyefariki Tanga Azikwa

JESHI LA POLISI LA TANGANYIKA HALINA UWEZO,MBINU ZA KUWAKABILI MAJAMBAZI.au KIKUNDI CHOCHOTE CHA UHALIFU ILA WAMEPEWA MAFUNZO,MAELEZO YA KUZUIA MAANDAMANO YA VYAMA PINZANI KWA CCM NA KUWAPIGA VIONGOZI WA UPINZANI..Hawana lolote mdebwedo tuuuuu...
 
Kwani huyu ndiye mwanajeshi wa kwanza kufariki?

Wote huwa mnahudhuria misiba yao? Acheni ushabiki wa kitoto.

Mwanangu nipe ratiba za leo hapa jukwaani. Najua hii ya amboni hata wewe ni kwaajili unalipwa tu lakini hata kuitetea unaona soni. Hapa muombe watu waje leo na picha za Slaa akiwa amevaa joho la upadri ili muulie soo huko. Hujaona jana RPC wa Tanga kaachiwa aelezee movie na Chagonja. Rpc wa Tanga maskini hata kudanganya hawezi amebaki kusema sio magaidi ni wakorofi tu. Duuh, wakorofi mpaka jeshi liende na helkopta!? Haya mjeshi kafa, hospitalini bombo hajapelekwa wala nini, maiti imeenda kuzikwa bila kuonekana!! Aibu nyingine, ujue kweli ccm mwanaharamu wanawadhalilisha askari wetu mpaka wa ngazi za juu kisa madaraka!!
 
Endeleeni na mizaha yenu ya kitoto, Ila Afande Said tumempumzisha leo.

Mizaha inafanywa na serikali ya chama chako.. Usidhani watanzania wa sasa ni wale wa miaka ile.. Sasa hivi tunapokea habari na kuzi-analyse kwanza.. Single hii ime-flop from day one..

Leteni single nyingine..
 
Habari wakuu?

Nimesikia magazetini hasa majira, wanaelezea usiri mkubwa ulifanyija jana kumuaga mwanaukombozi huyu hapo Tanga, ili kupelekwa kwao kijiji kwa maziko.

Naomba kuuliza waliofika au waliopo kijijini kwao watujuze maziko yalikuwaje...

Pia naomba, mwenye picha au majina ya majeruhi pls atuweke hapa tuwajue na kuwasaidia ndugu zetu.

Asante sanaaa.

Uko sahihi kabisa.Hivi kweli kwenye jukwaa hili hakuna mtu anayetoka kijiji hicho au hata cha jirani?Vile vile namna wahariri wa magazeti bado wanaiandika hii issue as if ni habari hawajashtuka kweli?Hii issue imeonyesha kuna watu waliumbwa bila mshipa wa aibu.Mungu aliusahau.
 
Mda mwingine mi naona ni sawa kwa polisi kupewa vichapo. Sababu wao badala ya kutulinda ndio wanatupiga na risasi za mpira, virungu, wanatuzuia kufanya maandamano. So let them get their own medicine. HONGERA MAGAIDI WA TANGA
 
Halafu pamoja na wanajeshi hao kuwa wengi sana, wana mizinga, helikopta hadi vifaru ila magaidi wachache wenye yebo yebo na mapanga na ak 47 wawatoe jasho hadi leo na kuwaua na kujeruhi wanajeshi kadhaa. Sijasikia gaidi aliyeshikwa.

Basi polisi na jeshi ni hopeless kabisa.

Kuna mtu kama sio waziri kuna mwaka fulani enzi za mahita aliomba hili la polisi libadilishwe( lifumuliwe) japo alipata upinzani mkubwa sana. Leo haya yanafanyika kwa ajiliya kunufaisha CCM huku wakisahau kuwa ni hatari sana mambo ya kuzusha! Hii cream nzima ya wazee pale jeshi la polisi sio sahihi kabisa
 
Uko sahihi kabisa.Hivi kweli kwenye jukwaa hili hakuna mtu anayetoka kijiji hicho au hata cha jirani?Vile vile namna wahariri wa magazeti bado wanaiandika hii issue as if ni habari hawajashtuka kweli?Hii issue imeonyesha kuna watu waliumbwa bila mshipa wa aibu.Mungu aliusahau.

Uliozikwa ni msukule au mganga wa kienyeji maana ndo maziko yao hufanyikaga kwa siri na tambiko kali!
 
HII SINEMA IMENISISIMUA SANA. Hebu tazama vizuri huyo anayejiita Gaidi wa upande wa kulia, TAZAMA VIZURI MUUNDO WA MIGUU YAKE; Utakubaliana na mimi bila mashaka yoyote kuwa ni PAUL MAKONDA!!!
 
Kwa kweli wewe bwana unatakiwa kupimwa akili, haijakaa sawa hata kidogo. Kuwa mwehu sio lazima uokote makopo, kuna dalili nyingi na hii ya kwa ko ni moja wapo katika zile kubwa. Nimekusamehe. Najua na watanzania wengi waekusamehe. Labda wewe ni mmojawapo wa wadudu wale waliokuwa pangoni, nahisi maana dalili zote zinanipeleka huko. Kawaambie waliokutuma, kwamba Tanzania ni rahisi kuingia lakini sio rahisi kutoka na uhalifu wako. Kama unabisha kamuulize Kaburu a Afrika Kusini Peter Bother na FW Clark. Damu ya Askari huyo mtaendelea kuilipa mpaka tone la mwisho. Subiri. Popobawa wewe mburula usiyejua umuhimu wa askari.

Maelezo Meeeeeengi Halafu Mareeeeeeeeefu Lakini Ni FULL TITO and GIGO..........Swine.
 
HII SINEMA IMENISISIMUA SANA. Hebu tazama vizuri huyo anayejiita Gaidi wa upande wa kulia, TAZAMA VIZURI MUUNDO WA MIGUU YAKE; Utakubaliana na mimi bila mashaka yoyote kuwa ni PAUL MAKONDA!!!
Wanasema kucheka ni dawa, asante sana kwa Makojo kwa kugeuka daktari wangu ghafla! Nimecheka japo swala lenyewe ni serious.
 
:tape2::tape2::tape2::A S-confused1:
Wewe nae!!! Kwani daktari anapojibizana na kichaa naye ni kichaa? Kuchukuliana mizigo ni muhimu kwa kuwa sisi sote ni machizi ila tunatofautiana levels. Unadhani wewe ndio uko salama? Binadamu wote machizi tu, tafakari na uchukue hatua. Huyu bwana ni advanced chizi. Anapaswa kusaidiwa sio kununiwa. Vinginevyo aataozea mapangoni kwa wenzake kule Amboni.
 
Mbona hizi taarifa sijasikia kutoka kwa Msemaji wa JWTZ? Kuna amtu anajua Email au Namba ya Simu ya Msemaji (Meja Erick Komba)? Naomba ani PM pls!
Siku hizi yuko meja Maganga mtani wake Erick Komba. Nilimsikia akitoa taarifa fulani kuhusu DRCongo. Manake maujiko kibao lakini magaidi wa Amboni wamewatoka kiulaini. Hapa kuna jeshi la kudhibiti maandamano na wamachinga basi.
Matokea ya mtizamo huo wa majeshi umetufanya raia tushindwe kuelewa hivi wajeshi wanaposema wahalifu ni nani? Ni wapinzani? Ni wamachinga? Ni wanafunzi? Ni raia wanaoangaikia maisha yao? Nauliza nina maana. Wakati Pinda anagiza tupigwe tu tunaonekana sie wahalifu, leo wao jeshi wamevamiwa na magaidi wanataka wao na sie tushirikiane dhidi ya wahalifu. Hii haijakaa sawa. Kwanza tuanze kupendane wenyewe kwa wenyewe ndipo tutajenga mshikamano na wajeshi. Vinginevyo kila mtu abebe msalaba wake. We si polisi au mjeshi fanya kazi ya nasi tutafanya za kwetu. Inauma lakini ukweli lazima uwekwe wazi ili kila Mtanzania ajue anawajibika kufanya nini.
 
Na Kwa Taarifa Yako Tu Na Kwa Kukusaidia Hilo Tukio Zima La Tanga Ni Framing Tu Ya Situation Imefanyika Ili Kuwapumbaza Watu, Kufunika Masuala Fulani Fulani Ambayo Ni Nyeti Lakini Haswa Kuwafanyeni Muamishe Akili Zenu Ktk Kukazania Sijui Masuala Ya Katiba Pendekezwa Na Maudhui Yake Ili Muda Uende Na Siku Ifike Wafanye Yao. Akili Yangu Siyo Kama Yako Ya Ki BRN Hata Kufikiri Hujui Na Unakurupuka Tu. Siandiki Humu Jambo Kama Sijalichuja Na Kulitathmini Na Unavyo au Mnavyonichukulia Wala Sivyo Na Ipo Siku Mtanikubali Tu Na Kuficha Nyuso Zenu. Huna Ulijualo Na Acha Huruma Za KINAFIKI!

Hebu tuthibitishie kuwa unachokizungumza si matokeo ya upofu, kudhani au uelewa mdogo kwa kutuwekea ushahidi kuwa hayo uliyoyazungumza hapo juu ni ukweli.
Unasikitisha sana kuona kuwa umefikia mpaka kutukana na kuonekana kufurahia kifo cha mtu anaeilinda nchi yake kwa kujitolea bila uoga na hatimae kufia katika mapambano, lazima utakuwa na ushahidi madhubuti utakaoweza kutusaidia na sisi wengine tusiojua tuache kulifuatilia hili swala kwa mtazamo wa kuwa nchi inashughulika na waovu wasioitakia mema nchi yetu. Inaelekea unajua mengi na makubwa sana, hebu tuwekee hapa huo ushahidi.
 
Mimi Silindwi Na Wanajeshi Wenu Bali Nalindwa Na Malaika Wa Mwenyezi Mungu Na Najilinda Mwenyewe Pia Sawa? Mbwiga Mkubwa Weye! Wao Ni Nani Wasife? Tena Nawalaumu Mno Hao Sijui Majangili au Magaidi Kwa Kuua Tu Huyo Mmoja Kwani Mimi Nilitaka Wawaue Wote Ili Wakome. Battle Ndogo Tu Hiyo Tunahanya hanya Na Kuhangaika Je Zingine Zitakuwaje? Mr. Misifa Wenu Mwakibolwa Mbona Hajaenda Sasa Huko Amboni Tanga? Mnadhani Magaidi Ni Sawa Na M23? Hivi Kama Wewe Una Akili Na Unajifanya Unayajua Masuala Ya Medani Za Kivita Ambaoni Tanga Ni Kwa Kuwapeleka Wanajeshi? Kulikuwa Na Ugumu Gani? Ndiyo Maana Na Wao WAMETUSAMBAZIA UPENDO Kwa Ku Mdedisha Huyo Mjeda Kwani Na Wao Walikurupuka Na Wakome Siku Nyingine.

Pamoja Na Kwenda Na Makombora Yenu Ya Msaada Kutoka China Na Marekani, Magari Sijui VX Na Misafara Ya Askari Wa Kila Aina Kuna Jangili Hata Mmoja Wamemkamata? Ninavyowadharau Hawa Watu Usifikiri Kuwa Nakosea Bali Namaanisha Kuwa Uimara Wa Vikosi Vyetu Vya Ulinzi Na Usalama Kwa Sasa Nchini Tanzania Unatia Mashaka Na Kuna Upuuzi Na Uzembe Mkubwa Unaofanyika Humo ILA Nyie Kwakuwa Mmekuzwa Ki BRN Hamwezi Kutambua Kitu. Ingekuwa Ni Nchi Zenye Ueledi Na Nidhamu Ya Kazi Kwa Tukio Hili Tu Mkuu Wa TISS Na Hata Wa Jeshi La Polisi Wangewajibika Kwa Uzembe Ambao Kama Idara Zao Zingekuwa Makini Yaliyotokea Amboni Kamwe Yasingejiri Na Bado Wanapeta Tu Huku Watanzania Wakitaabika Huko Tanga.
Najaribu tu kutafakari kwanza.
 
Hebu tuthibitishie kuwa unachokizungumza si matokeo ya upofu, kudhani au uelewa mdogo kwa kutuwekea ushahidi kuwa hayo uliyoyazungumza hapo juu ni ukweli.
Unasikitisha sana kuona kuwa umefikia mpaka kutukana na kuonekana kufurahia kifo cha mtu anaeilinda nchi yake kwa kujitolea bila uoga na hatimae kufia katika mapambano, lazima utakuwa na ushahidi madhubuti utakaoweza kutusaidia na sisi wengine tusiojua tuache kulifuatilia hili swala kwa mtazamo wa kuwa nchi inashughulika na waovu wasioitakia mema nchi yetu. Inaelekea unajua mengi na makubwa sana, hebu tuwekee hapa huo ushahidi.

Hii haiwez kuingia akilini mwa mtu wanajesh kambi nzima wawe eneo la tukio tena wamelizunguka eneo la tukio na kumweka mtu kati halafu tunaambiwa wamekimbilia msituni ki vipi sasa!
 
Mimi Silindwi Na Wanajeshi Wenu Bali Nalindwa Na Malaika Wa Mwenyezi Mungu Na Najilinda Mwenyewe Pia Sawa? Mbwiga Mkubwa Weye! Wao Ni Nani Wasife? Tena Nawalaumu Mno Hao Sijui Majangili au Magaidi Kwa Kuua Tu Huyo Mmoja Kwani Mimi Nilitaka Wawaue Wote Ili Wakome. Battle Ndogo Tu Hiyo Tunahanya hanya Na Kuhangaika Je Zingine Zitakuwaje? Mr. Misifa Wenu Mwakibolwa Mbona Hajaenda Sasa Huko Amboni Tanga? Mnadhani Magaidi Ni Sawa Na M23? Hivi Kama Wewe Una Akili Na Unajifanya Unayajua Masuala Ya Medani Za Kivita Ambaoni Tanga Ni Kwa Kuwapeleka Wanajeshi? Kulikuwa Na Ugumu Gani? Ndiyo Maana Na Wao WAMETUSAMBAZIA UPENDO Kwa Ku Mdedisha Huyo Mjeda Kwani Na Wao Walikurupuka Na Wakome Siku Nyingine.

Najaribu tu kutafakari kwanza.

Tafakari Vizuri Sana Kisha Utaniambia Unatakaje!
 
Back
Top Bottom