Habari wana JF nimepata taarifa muda si mrefu kuwa askari mmoja Inspekta Lucy wa Makao makuu kitengo cha Interpol amegongwa na Gari linalosemekana la mhasibu wa polisi alipokuwa akisubiria gari aende kazini pale barabara ya kilwa karibu na flat mpya za polisi hapa Dar es salaam. Hali ya mgonjwa ni mbaya sana nasikia amevunjika miguu yote miwili. Mimi kwa niaba ya wana JF nampa pole sana naomba wenye kumjua kufuatilia kule MOI