Askari wa Interpol agongwa

Prisoner

Senior Member
Jan 26, 2010
119
0
Habari wana JF nimepata taarifa muda si mrefu kuwa askari mmoja Inspekta Lucy wa Makao makuu kitengo cha Interpol amegongwa na Gari linalosemekana la mhasibu wa polisi alipokuwa akisubiria gari aende kazini pale barabara ya kilwa karibu na flat mpya za polisi hapa Dar es salaam. Hali ya mgonjwa ni mbaya sana nasikia amevunjika miguu yote miwili. Mimi kwa niaba ya wana JF nampa pole sana naomba wenye kumjua kufuatilia kule MOI
 
Nampa pole pia.Ila taito yako imekaa vibaya..Kugongwa ni neno tata..ungemalizia amegongwa na gari.
 
What is the big issue here? Ni kwa kuwa askari amegongwa au kwa sababa wa interpol? Watu wanagongwa kila siku hapa mjin you dont report here in JF. Inawezekana huyo ni polisi mwenzako na unaishi naye kwenye vikwangua jua vipya vya hapo kurasini ndo maana ukaitoa. Stop this biasness weka habari ya mitu yeyote ile inapata ajali mura.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom