tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,437
- 4,791
Huyo jamaa wa bodaboda bado yupo salama?
Wapigwe tu. Kama pinda alivyosema.Sio vizuri kuwapiga..ni ujinga
Umeongea maneno ya busara sana mkuu ila sidhani kama mkulu wa kaya ataelewa hii kadhia wapatayo hawa maderevaKunasiku nilikutana na bodaboda mmoja ,anasema kunamwenzao alishikwa na trafic akamtishatisha kisha kamuandikia akalipe elf60.bodaboda akamwambia nalipa lakini utailrudisha hiyo.
Jamaa akatafuta wenzie wachache wameenda hadi nyumbani kwa traffic wakagonga mlango ,ile anatoka wakamuweka chini wamwambia alipe hela yao aliewalipisha mchana,traffic hakua na namna kaingia ndani katoa hela na ya usumbufu ,bodaboda wakaondoka.
UKWELI KUNA MAKOSA MENGINE UNEWEZA KUMKUMBUSHA TU DEREVA NA KUACHANA NAE,
TATIZO WANA DILIAZAIDI NA BODABODA ,BAJAJI, DARADARA ,NA VILUKUU,
HUKU NI KUWAPANDIKUZA WATU HASIRA,MAANA UNAKUTA MTU CHOMBO SIO CHAKE NA ANATAFUTA RIZIKI YA WATOTO. IKIFIKA JIONI ANAJIPA MOYO NIMEPATS HESABU YA MWENYE CHOMBO NA RIZKI YAKE YA FAMILIA WEWE UNAKUJA BILA YA HULUMA TENA KWA KOSA LA MTU KUKUMBUSHWA TU.
ASKARI ANATAKIWA AJUE DHAMANA ALIYOPEWA SERKALI NA NGUO ALIZOPEWA AVAE ,ISIWE KIGEZO CHA KUJIONA KUWA UKO TOFAUTI NA WATU WENGINE,UTU NI MUHIMU.
Tuseme ukweli tu mkuu bodaboda ni shida ni kati ya madreva wanaosumbua sana barabarani wanavunja sheria makusudi nitakushangaa kuwatetea bodabodaHuyo traffic ni kama ana hasira na maisha yake.. hii kitu haitakiwi kutendwa kihivyo kabisa. Kingine haionyeshi makosa na hakuna ngumi zaidi ya kukabana mashati na dereva. Inatia aibu traffic kutenda hilo hata baada ya mwemzake na raia kumsihi akaendelea tu. Hata kama dereva ana kosa.. inabidi watafute mbinu za kuwabana hao madereva wasiotii sheria za barabarani ikiwa wanaogopa kukimbiwa nao