hawa jamaa wamezid mno kuonea watumiaji wa vyombo vya moto...
Tunajua mko kulinda usalama wa maisha yetu lkn pale mnapovuka mipaka na kugeuka kero ndio hapo tunashindwa kuwaelewa...
.
Hili jambo la jamaa kujivunia kukusanya mapato kupitia makosa ya barabaran its like mnafurahia watu kukosea ili muweze kufikia malengo ya makusanyo yenu na kule kuongeza tozo za fain ni kichocheo kikuu cha rushwa za barabaran mwenye nchi amezihalalisha kuziita ruzuku ya kufutia viatu...
.
Acha mpigwe tu maana hamna namna sasa
Kila MTU siku hizi anahasira
Akitoa bastola atakuwa mjinga. the biggest coward ever. Hapo ni mkono kwa mkono. nyama kwa nyama . jiono kwa jinoUgomvi mwingine ni wa kijinga! Kujifanya jasiri,.
Sasa huyo trafic angekuwa na bastola hajakutoa utumbo tu hapo?
......
Ulupata nn mkuu uko kituonMiaka mitano nyuma niliwahi kumpa kichapo cha mbwa mwizi polisi wa usalama barabarani,
Kilicho kuja kunipata sinto kaa nisahau mpaka nakufa, jamaa wana ushirikiano sana wakikufikisha kituoni
Kunasiku nilikutana na bodaboda mmoja ,anasema kunamwenzao alishikwa na trafic akamtishatisha kisha kamuandikia akalipe elf60.bodaboda akamwambia nalipa lakini utailrudisha hiyo.
Jamaa akatafuta wenzie wachache wameenda hadi nyumbani kwa traffic wakagonga mlango ,ile anatoka wakamuweka chini wamwambia alipe hela yao aliewalipisha mchana,traffic hakua na namna kaingia ndani katoa hela na ya usumbufu ,bodaboda wakaondoka.
UKWELI KUNA MAKOSA MENGINE UNEWEZA KUMKUMBUSHA TU DEREVA NA KUACHANA NAE,
TATIZO WANA DILIAZAIDI NA BODABODA ,BAJAJI, DARADARA ,NA VILUKUU,
HUKU NI KUWAPANDIKUZA WATU HASIRA,MAANA UNAKUTA MTU CHOMBO SIO CHAKE NA ANATAFUTA RIZIKI YA WATOTO. IKIFIKA JIONI ANAJIPA MOYO NIMEPATS HESABU YA MWENYE CHOMBO NA RIZKI YAKE YA FAMILIA WEWE UNAKUJA BILA YA HULUMA TENA KWA KOSA LA MTU KUKUMBUSHWA TU.
ASKARI ANATAKIWA AJUE DHAMANA ALIYOPEWA SERKALI NA NGUO ALIZOPEWA AVAE ,ISIWE KIGEZO CHA KUJIONA KUWA UKO TOFAUTI NA WATU WENGINE,UTU NI MUHIMU.
Tena siku hizi traffic ni wengi barabarani katika kituo kimoja waweza kuta hadi 10 sijui huko ofisini huwaacha wengine au ni ugumu wa kazi barabarani