Haji Mashaka Nassoro
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 384
- 851
Dereva ame-over speed 55kph badala ya 50kph unampiga cheti kisa hajakupa ya ku-brush viatu hiyo ni laana ndomana mki-retire hamchelewi kuvuta box.
Waanze na misafara yao barabara si hiyo hiyo?Mwendo kasi unaua tujitahidi kufata sheria mkuu
Ile inakua monitoredWaanze na misafara yao barabara si hiyo hiyo?