askari usalama auwawa zanzibar

Malipo ni hapa hapa, wanavyo uwawa adi raha!
Kila siku mmoja au wawili adi waishe!

Mmh...Hii kali! Hata kama wenyewe polisi ndiyo waliotufikisha hapa, lakini sio vyema kuwaombea wafe mmoja baada ya mwingine! Ila sasa ndiyo muda muafaka wa kuwasuta, kuwa wanaona madhara yanayotokea kwa kulea kwao mambo ya udini?
 
Vurugu zinaendelea, askari wanakufa na Raisi pamoja na viongozi waandamizi wa nchi wako kutalii misikiti na makasri ya Oman. Are they real concerne with wellfare of the citizens?
 
Hii ishu ni ya kweli hata mimi nipo hapa ingawaje Serikali hawataki kuitangaza na hata vyombo vya habari vimekaa kimya juu ya hili ingawaje hadi sasa mabaki ya Damu ya marehemu huyo yanaonekana. Askari walimpiga mwenzao baada ya kijana mmoja waliyekua wamempakia katika gari lao kuchupa gari na kuwatoroka, ndipo wakapiga risasi na kumdungua mwenzao. Hawa askari maji yamekua sìngöni na sasa wameanza kuchanganyikiwa na bado watauwanaaa wenyewe!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom