Utakuta gari la taka linapita mbele ya askari trafiki na lina makosa yanayo weza kusababisha ajali, kwa mfano utakuta halina brake lights, indication lights, halina honi, limechakaa kiasi kwamba halina viwango vya kutembea barabarani, yaani na lenyewe ni kama takataka, lakini askari anajifanya kama halioni!!.
Kwanini? Au magari ya taka ndio yanatakiwa kuwa jinsi yalivyo?
Kwanini? Au magari ya taka ndio yanatakiwa kuwa jinsi yalivyo?