KERO Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
malofa nyie yaani unaleta malalamiko humu badala ya kuchukua hatua na mabunduki mnamiliki wenyewe, shubaaaamiiit zenu mnashindwaje kutandika risasi kila mtu kama mlivyofnya okt 29 ili wawaelewe wawalipe? Masikini wakubwa nyie na bado mtatumika mpaka wajukuu zenu watkuwa watumwa tu. Idiot.
 
Ya brash mnapata, inawatosha.
 
MO29 uliuwa wangapi?
Ulivyopora kwenye maiti hazikutosha kulipa hiyo Kodi ya pango?
 
Nyie ni wauwaji
Watesaji
Ndiyo maana
Mtu ana haki ya kupata dhamana wewe unataka upewe rushwa???
 
Mpaka mnyooke
 
Nini kifanyike?
 
Inasikitisha maana vijana wadogo wanaolilia ajira wanatumika kama mamluki tu.
 
Ndugu polisi,wewe uliua watanzania wangapi siku ile ya mauaji?
 
Fwala wewe, kuhusu house allowance yako, mwambieni bosi wenu na mamlaka zinazowajibika. Sisi wananchi unataka tukusaidie nini sasa? Unalalamika kutolipwa posho, wakati sisi tunabeba maumivu ya ndugu zetu waliopoteza maisha tarehe 29 Oktoba. Wewe ulikuwa sehemu ya jeshi lililokuwa kazini siku hizo, kwa hiyo kama una madai ya stahiki zako, yafuatilie kwa waajiri wako. Usitarajie watu waliopoteza ndugu zao wakuone kama mtu wa kusaidiwa katika suala hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…