KERO Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hata pumzi ikiwezekana msipewe...
 
Mbwa ana kaa kwenye banda, kwenye banda hulipi kodi.
Nilkua naenda sehemu nimepanda pikipiki anaendesha jamaa akaniambia umemuona Mbwa? Nikaanza kuangalia angalia nikamuuliza Mbwa yupo wapi? Jamaa akaniuliza tena hujamuona Mbwa? Nikamwambia sijamuona Mbwa yuko wapi? Kumbe pembeni yetu kulikua na Askari kavaa uniform zake za olive anaendesha pikipiki, jamaa akaniambia Mbwa yule pale anaendesha pikipiki, ikabidi nichoke na kujitafakari kidogo

Hapo kwenye banda napo umenikumbusha kuna mbwa alizaa vitoto akawa yupo tu nje na vitoto sasa mwenye Mbwa sababu alikua anampenda akaenda kumnunulia banda likaletwa likaingizwa ndani akatengewa sehemu akaingizwa akaanza kuishi humo na vitoto vyake, hakika kweli Mbwa hachagui banda na Mbwa halipii kodi banda lake anaishi bure, kodi, chakula, maji, umeme, nk vyote ni juu ya mwenye Mbwa, Mbwa kazi yake ni moja tu kulinda na kung'ata
 
Kwa namna jeshi linavyofanya kazi, ni vigumu kwa walio wa chini (askari wenye vyeo vya chini) kupata haki

Ukisema uwasilishe kwenye vikao vyenu vya ndani, nyie wa chini hamshirikigi hivyo vikao isipokuwa maafisa wa vyeo vya juu πŸ™Œ

Mkisema mlalamike kwa Waziri, baada ya muda unatekwa/potezwa

Nyie haki yenu ni posho za kusimamia mitihani tu, lakini hizo nyingine waachieni wakubwa wanaowapeni oda mkaue wakati wao mikono yao haishiki hata hizo bunduki zenu
 
8-Kuiba /Kupora Kura za CHADEMA .Shenzi zao
 
Rubbish
 
nyie vibaraka ccm hata mshahara hamstahiri kupata kwa yale ya october 29
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…