A
Kazi na Utu yale ya mo 29 mlikuwa mnatuua haya sasaAskari Polisi wengi hatupati posho ya pango, I mean house allowance.....licha ya kwamba tumepanga mitaani na kuna ambao wanaishi kota na bado wanapewa posho, kuna upendeleo.
Posho ya pango ni askari wote except wanaoishi kota, sasa cha ajabu mimi nipo nimepanga mtaani lakini posho ya pango wameitoa lakini wengine kama Maafisa wapo kota na wanalipwa.
Soma coment mkuuAskari Polisi wengi hatupati posho ya pango, I mean house allowance.....licha ya kwamba tumepanga mitaani na kuna ambao wanaishi kota na bado wanapewa posho, kuna upendeleo.
Posho ya pango ni askari wote except wanaoishi kota, sasa cha ajabu mimi nipo nimepanga mtaani lakini posho ya pango wameitoa lakini wengine kama Maafisa wapo kota na wanalipwa.