Askari Polisi wakimbia kuishi uraiani Mtwara

Askari Polisi wakimbia kuishi uraiani Mtwara

Uvccm mwingine huyu hapa...hawa wadudu humu ni wachache sana lakini hawa dawa yao ndogo hata alovera tu wanapukutika jamvini....yaani ninyi siku lumumba wasipowalipa hakuna wakuitetea ccm humu haaaaaaa haaaaaa haaaah kweli magamba wanakazi siku hizi

Punguza Jazba...
Uhuru wa kufikiri ........ Haiwezakani watu wote wakawa na mawazo kama yako...
Ingekuwa hivyo kusingekuwa na upinzani
 
Mwenzake simiyu yetu kaamua kujitoa anadai hajalipwa pesa yake ha ha haaaa
 
Punguza Jazba...
Uhuru wa kufikiri ........ Haiwezakani watu wote wakawa na mawazo kama yako...
Ingekuwa hivyo kusingekuwa na upinzani

Na mimi sitaki huyo ndugu yako awe na mawazo kama yangu ila itoshe na ifae kwako kuelewa kuwa na mimi nina-exercise haki yangu ya kimsingi ya kuwa na mawazo tofauti na huyo au wewe pia ndio maana nimecomment against comment yake na sijasema apigwe ban ila nimezungumzia kuwapukutisha kihoja kwa mujibu wa mawazo yangu au yetu.....sijui unanielewa vile mkuu?....sema bahati mbaya ninyi huko kwenu ugambani mmefundishwa kudumisha fikra za mwenyekiti ila mngefundishwa argumentation na mawazo huru ungenielewa.
 
Hongereni mtwara hao Polisi wamezoea kudhalilisha tabaka linalopingania haki zao.
 
Mwenzake simiyu yetu kaamua kujitoa anadai hajalipwa pesa yake ha ha haaaa

Ha ha haaa! aisee kunakitu umenikumbusha huyu jamaa kuna siku kadhaa simuoni humu au ametangulia mbele ya haki kwenye ile ajari ya juzi huko ?
 
Askari jeshi la polisi mkoani mtwara wameingia katika kipindi kigumu baada ya baada ya kulazimika kuhamia katika kambi zilizopo kutuo kikuu mkoani mtwara na kuishi ktk mahema,hiyo imesababishwa na kuhofia usalama wao mitaani pia wamiliki wa nyumba mkoani mtwara wamegoma kuwapangisha askari polisi.Hali hii imesababishwa na vurugu zilizotokea mkoani mtwara na kusababisha jeshi la polisi kuchukua hatua ya kujeruhi,kuua na kuharibu na kupora mali za raia

Maumivu ya kichwa yanaaza taratibu. Hii imeanzia huko muda si mrefu itapiga hodi Arusha na maeneo mengine ya nchi sio dalili nzuri kabisa. Watawala liangalieni hilo.
 
Hii ikifanyika nchi nzima lazima police wanye choo kigumu..! Ngoja na mimi niwape hawa mafala notice ya miezi mitatu watembee na yesu
 
Hii ikifanyika nchi nzima lazima police wanye choo kigumu..! Ngoja na mimi niwape hawa mafala notice ya miezi mitatu watembee na yesu

Na polisi wasipochangamana na raia ujue raia tuna shuguli cku wakiibuka kitaa lazima wamkamue mtu.
 
Ngoja nimuulize mchizi wangu polisi pale mtwara maana uzushi hauishi humu jf.
 
...hawa wadudu humu ni wachache sana lakini hawa dawa yao ndogo hata alovera tu wanapukutika jamvini....

Punguza Jazba...
Uhuru wa kufikiri ........ Haiwezakani watu wote wakawa na mawazo kama yako...
Ingekuwa hivyo kusingekuwa na upinzani

....ndio maana nimecomment against comment yake na sijasema apigwe ban ila nimezungumzia kuwapukutisha kihoja kwa mujibu wa mawazo yangu au yetu.........sema bahati mbaya ninyi huko kwenu ugambani mmefundishwa kudumisha fikra za mwenyekiti ila mngefundishwa argumentation na mawazo huru ungenielewa.

Inaonesha una Tatizo la kusahau....
Ushasema "hawa dawa yao ndogo hata alovera tu wanapukutika jamvini" ..sasa wakishapukutika si mtabaki peke yenu tu humu jamvini ?

Itakuwa kila kitu ndio mzee....

Rudia Comment yako utagundua wewe ni mtu usiyetaka kupingwa unachosema wala haionyeshi mahali popote unataka kuwapukutisha watu kihoja

Halafu kwetu Ugambani ndio wapi ?
Yani mimi kukumbusha kuwa uheshimu uhuru wa mawazo ....inapelekea kwetu kuwe ugambani ?

Ok wasalamie kwenu UCHAGANI waambie wakutibu maradhi ya kusahau ndio uje tena huku
 
hili limeitw jukwaa wewe acha kuleta umombasa wewe...sasa hutaki mpukutishwe ? likibaki jukwaa la ndio mzee tutakosoana kwa maana ya kujenga ...lengo ni kutoa matahira wanaojifanya wafia chama ....wanaoshabikia mauaji waliofanya wenyewe...kawasalimie nawe wale wa Lumumba wambie sumbawanga wafia chama wanavaa nguo za ccm ndani kama nguo za kulalia.....wambie huku watu ...wanajiandaa iwe no harufu ya ccm kama arusha ifikapo mwaka 2015
 
Nshagundua tatizo lako ...
Kumbe ndio michezo yako .....?
Endelea kuzunguzunguka humu jukwaani utapata wa kukutibu ....

i'm out naogopa laaana....
 
Nshagundua tatizo lako ...
Kumbe ndio michezo yako .....?
Endelea kuzunguzunguka humu jukwaani utapata wa kukutibu ....

i'm out naogopa laaana....
Haitakusaidia mkuu kuacha uliberali wakati mfereji wa suez umeshaharibika......yaani ninyi madogo lumumba sijui mnatolewa vijiji gani...hata hamkisaidii chama chenu zaidi ya kukiua...............seru..k..ba wewe
 
Serukumba Mama yako mbwa wewe...
Unadhani matusi yanauzwa ?

Kenge wa kichina .....
F***** ukoo wako mzima...mbwa koko....ukiongozwa na mama yako
Tumbili mmoja....
 
Back
Top Bottom