PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 13,343
- 42,928
Hahahaha 😅😆😅😂Mkuu ulikuwa unafukuzana nao?
Hahahaha 😅😆😅😂Mkuu ulikuwa unafukuzana nao?
Mkwere hahusiki na uzembe, shida ni bunda la 1G ndio limempagawisha sukaSiyo mwendokasi itakuwa tu mkwere katoa... Si imtokea msoga?
Extrovert allypipi Mzee Kigogo mrangi raraa reree tweenty4seven
Yaani wee Qenge uko ustaarabuni una mawazo hayo je ungekuwa huku kwetu kwa mtogole si ungekuwa kigagula kabisa!Atakuwa anahusikatu . Unajua huo uzembe unasababishwa kwa hao madereva kupigwa juju na kuwafanya kuwa wazembe ili ajali itokee.
Hivi vitu vipo.