kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,489
- 18,379
Hapa Arusha hasa maeneo ya stend kuu,
Kuna askari wenye virungu vinavyofanana
Wapo katika vikundi vikundi vya wanne wanne..
Wazunguka zunguka tu, hawa polisi ni wafupi na wengi wanalingana!
Kofia walizovaa zina lebo za rangi tofauti tofauti!
Na naona wamesambazwa tu ili kuwajengea watu nidhamu ya uoga!!
Arusha uchaguzi utakuwa poa tu!