Askari polisi atuhumiwa kubaka mgonjwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!

white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Messages
3,989
Points
2,000

white wizard

JF-Expert Member
Joined May 18, 2011
3,989 2,000
Askari polisi mmoja ambaye ni daktari amekamatwa na jeshi la polisi wilayani temeke kwa tuhuma za kubaka mgonjwa wake!Daktari huyo ambaye anafanya kazi kama part- tyme ktk zahanati moja ,inasemekana kuwa huwa ni tabia yake ya muda mrefu mgonjwa anakwenda kumuona hospitalini pale akiwa anaumwa malaria lakini anachomwa sindano ya usingizi! anasinzia dr,anafanya mambo yetu yaleee anamaliza.Mgonjwa anashituka anakuta ameshabakwa anatishiwa na huyo dr, kwa kutumia upolisi wake na hususani alikuwa anafanya mchezo huo kwa mabinti wadongo wadogo.sasa za mwizi arobaini,wiki iliyopita amekwenda mama mtu mzima naye akafanyiwa hivyo hivyo,mumewe hakujua kilichoendelea akaita taxi akampakiza mkewe akiwa huku yuko hoi,kumrudisha nyumbani akajua ni sindano ya ugonjwa aliyochomwa ndiyo imemchosha! ! kumfikisha nyumbani wakamwagia maji akapata unafuu,kuangalia sehemu zake za siri hazielewi elewi,kuna mbegu za kiume [sperm] ndio kumuita mumewe na kumuuliza baba vipi tena mbona hivi? mumewe naye akashangaa ndio wakaenda kituo cha polisi,na kwenda hospital ya temeke,ikaonekana kweli amebakwa!Hadi tunakwenda mitamboni askari huyo amekwisha kamatwa tena kwa kupigwa pingu mchana kweupe,na jinsi nilivyoshuhudia walivyomkamata kama hawamjui vile !hadi nikafurahi mwenyewe.Ngoja tusubili tunaiachia mahakama,
 

uporoto01

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Messages
4,741
Points
1,225

uporoto01

JF-Expert Member
Joined May 23, 2008
4,741 1,225
Wzard kweli una moyo unaziachia mahakama hizi zetu tena njemba polisi ? kutiwa pingu ile ni snema ya kushusha hasira za watu si unaona hata wewe umefurahi ?
 

white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Messages
3,989
Points
2,000

white wizard

JF-Expert Member
Joined May 18, 2011
3,989 2,000
Wzard kweli una moyo unaziachia mahakama hizi zetu tena njemba polisi ? kutiwa pingu ile ni snema ya kushusha hasira za watu si unaona hata wewe umefurahi ?
kilichonifurahisha ni jinsi walivyompiga pingu na kumpa kipondo kidogo na kumtupia kwenye defender huku wanafanya naye kazi ktk kituo kimoja cha polisi,
 

Forum statistics

Threads 1,392,455
Members 528,629
Posts 34,109,752
Top