Askari polisi mmoja wa serikali ya uganda, ameingia msikitini na viatu akipiga watu waliokuwa wakiandamana kupinga ongezeko la ada ya vyuo vikuu nchini humo, mtu mmoja (nadhani ni sheikh) amesikika Voice of America akisema angeamrisha waumini wamuue askari huyo kwa utovu huo wa nidhamu,
Source: BBC World Service
Sina hakika kama waliokimbilia msikitini humo walivua viatu kabla ya kuingia.
Ni kweli anangeamrisha watu wamuue tu huyo askari polisi ni mpuuzi sana.
Kwanza kuandamana ni haki ya msingi, pili kuingia na viatu msikitini ni dharau kubwa sana kwa imani ya kiislaamu. Ni ishara tosha ya kuonyesha mabavu ya serikali kwenye imani ya watu na muslim nao wangeonyesha hasira yao kwa kumfanya lolote baya ili atie adabu.Mpuuzi kwa vile kaingia na viatu au kwa vile anapga raia wanaoandamana?
Kwanza kuandamana ni haki ya msingi, pili kuingia na viatu msikitini ni dharau kubwa sana kwa imani ya kiislaamu. Ni ishara tosha ya kuonyesha mabavu ya serikali kwenye imani ya watu na muslim nao wangeonyesha hasira yao kwa kumfanya lolote baya ili atie adabu.
Nimekupata mkuu ila yawezekana waliingia wengi na viatu, c unajua ktk kujiokoa waweza fanya chochote? Bt anyway, tumsamehe kwa hilo.
Wasalaam aleykuuum
Wasalaam aleykuuum
Sweetlady sipati picha askari anakimbiza watu, halafu watu wanakimbila msikitini, halafu aksari akifika mlangoni anavua viatu kwanza kabla ya kuendela na kazi, akimaliza kuwapa kibano anachukua buti yake anasepa ha ha ha ha!!!. (with alight touch jamani msini maind)
Askari polisi mmoja wa serikali ya uganda, ameingia msikitini na viatu akipiga watu waliokuwa wakiandamana kupinga ongezeko la ada ya vyuo vikuu nchini humo, mtu mmoja (nadhani ni sheikh) amesikika Voice of America akisema angeamrisha waumini wamuue askari huyo kwa utovu huo wa nidhamu,
Source: BBC World Service
Sina hakika kama waliokimbilia msikitini humo walivua viatu kabla ya kuingia.
Ni kweli anangeamrisha watu wamuue tu huyo askari polisi ni mpuuzi sana.
Ulitaka kukusudia salaam?Wasalaam aleykuuum
Ulitaka kukusudia salaam?
Husalimiwa hivi: Assalaam alaykum.
Twende sasaSio Wasalaam Mkuu. Ni Asalaam Alaykum. Waalaykum Salaam.
Mkuu ulikuta imeisha? Jaribu tenaNdio nini? naona umetoka kupiga Kibuku akili imechoka pumzika