CAPTAIN MORGANI
Member
- Jul 27, 2013
- 29
- 5
[h=5] Kuna taarifa za kuaminika kuwa Nyumba ya askari polisi wilayini Maswa iliyoko karibu na hospitali ya wilaya imezingirwa na wananchi wenye hasira kali wakimtaka askari polisi kumtoa nje Binti wa kike aliyekuwa amemtorosha. Baadaye binti huyo alitolewa baada ya askari wenye silaha kufika na kutuliza jazba.nitawajulisha kinachoendelea.[/h]