that is pipoz pawa bwana.....!
Mimi sidhani kama ni kweli! Kama ingelikuwa ni kweli Askari wameuwawa, si ndio wangepata sababu tosha na ushaihidi dhidi ya Chadema???!!!!
keren umesema kweli kama angeuawa askari ndipo wangepata sababu kuu yakupakazia ktk media kua wafuasi wa chadema waliua polisi napolisi ktk kujihami nao wakalazimika kuua,ikumbukwe hata kule wete pemba alichinjwa askari kama kuku,ndipo kina mahita walipopata kuhalalisha uharamia wao,wakat polisi ndio walianza kuua watu kama kuku.Mimi sidhani kama ni kweli! Kama ingelikuwa ni kweli Askari wameuwawa, si ndio wangepata sababu tosha na ushaihidi dhidi ya Chadema???!!!!
nimesikia askari police wawili walichinjwa kama kuku arusha!! Hivi tanzania tumefikia hapa?
Serikali imeamrisha vyombo rasmi vya habari kutozungumzia jambo hili,je hii siyo kuingilia uhuru wa vyombo vya habari?
Waliopo arusha jambo hili lilitokea?:shut-mouth: