Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,104
- 26,070
Wafanyabiashara wa madini kutoka kaskazini waliuwawa kwa kusingiziwa ni majambazi!!!Hizo ni porojo tuu jf. Ulishakuwa kwenye medani wewe? Tujibizane risasi nimkwangue nisijisifu! Nieleze ni wapi jambazi kauwawa bila majibizano ya risasi? Usilete siasa kwenye mapambano wewe!
Mwanya kama huo wanaweza kuutumia polisi wasio waaminifu kwa kuwaua raia kisha kuwapora na kuwasingizia ni majambazi,nadhani hapo ndipo ilipo hoja ya mtoa mada!
Cha msingi kuwe na follow up au uchunguzi wa kina pale polisi wanapoua watu/mtu kwa mazingira yoyote!