Bukanga
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 2,857
- 1,936
Waziri amesema huko Dododma kuwa Askari yeyote atakayekutwa na hatia ya kukaidi kumpigia Mbunge salute atakatwa mshahara au kupewa adhabu kali zaidi ya hiyo...
Waziri alikuwa akijibu swali la Mbunge.
Sikujua kama wabunge nao wanapigiwa salute na mapolisi...
Kwahiyo hata hawa wanaotumwa kuwakamata wabunge wanapaswa wawapigie salute kwanza kabla ya kuwakamata?