Labda kama una utani nao, hili jambo sio la wanyalu pekeyao ni la taifa kwani udhalimu huu haukuwaleng wanyalu
sio kweli,we unajaribu tu kupandikiza chuki zako
Wee nae vipi? au unajifanya mgeni na nchi hii, hao pilisisiemu walikuwa na haja ya kumkamata huyoo muuajii mwenzao? tokea mwanzoni walishaanza kupindisha habari na kusingizia kuwa kuna kitu kizito kilirushwa kutoka upande wa wanachama wa Chadema, hiyo story ilififia baada ya kuona wanaharakati, waandishi wa habari na wananchi wamekomalia ikabidi waanze huu mchezo wa kuigiza unaoendelea sasa. Unajifanya unaiamini sana hii serikali na hao polisisiemu, kwani kesi ya Zombe ilikuwaje? au Balal si walisema hawezi kwenda kokote sababu wamemnyang'anya traveling Passport yake, sasa alitowekaje kama sio udhaifu wa serikali na polisisiemu ambao leo hii unawatetea. Na yule Mpakistani aliyekuwa anashikiliwa katika kesi ya kusafirisha wanyama hai yupo wapi leo, kama sio hao polisisiemu na uhasama wa taifa kumkimbiza. Nimeamini kuwa kuna watu hapa JF wanalipwa na akina Nape kwaajili ya kuja kutetea utumbe wa serikali na taasisi zake. Sikutarajia kuona mtu angeweza kuwatetea polisisiemu kwenye suala kama hili la kutorosha watuhumiwa ili kuisafisha serikali.Haiwezekani kitu kama hicho,hizi ni propaganda tu.polisi ndio waliomkamata wakampeleka mahakamani,wangetaka kupindisha wasingemfikisha mahakamani,wangemtorosha huko huko mitaani
Lazima unahusika..........:shetani:sio kweli,we unajaribu tu kupandikiza chuki zako
Habari ni kwamba, hukumu ya huyu mtuhumiwa (naomba nimuite muuaji), itakuwa clouded na ushahidi wa kuchonga (INSANITY) na marafiki wa mahakama watathibitisha hilo
Mkuu, ujasiri wa wahehe ulikwenda na Mkwawa. Unyanyaswaji aliofanyiwa Mkwawa na wajerumani umewafanya wahehe wa baada ya Mkwawa kuwa waoga ile mbaya. Kujinyonga wamerithi toka kwa Mkwawa ambaye alijinyonga alipobaini kuwa wajerumani wamemshinda na wangemkamata. Mhehe wa sasa anaona afadhali ajinyonge kuliko ku-fight back akihisi ameonewa!! Hakuna kabilla ambalo ni subservient sasa hivi hapa Tz kama wahehe. Ndiyo maana wamejaa TISS.
Usije ukafanya siri na mhehe