Askari akitembea juu ya moto

ni adhabu au ndo mazoezi.
kweli tuliambiwa tutakula kwa jasho,,hii ni zaidi ya jasho.
 
Sa ndo maana yake nn? Naona na wengine wamejiandaa..
 
Maaskari wengi wanaoitwa "Special Forces" hayo ni mazoezi ya kawaida sana!
 
.....Ni kuonyesha kila kitu kinawezekana under the Sun.
 
naombeni kujua lengo la mazoezi haya.
kwamba wanafanywa sugu ili baadae hata wakiwa kwenye moto wasiungue au?
hivi hata nchi zilizoendelea wanafanya mazoezi kama haya?
kama lengo ni kuweza kuukabili moto,si kuna vifaa mf. mavazi yanayozuia moto,au tanzania haina uwezo na vifaa hivyo ndo maana inabidi askari wake wawe na miguu/nyayo ambayo ni fireproof.
naombeni majibu jamani maana nawaonea huruma hawa askari.haya ni mateso
 
Pamoja na shuruba zote hizo masikini wanalipwa mishahara kiduchu mno
 

Huyo yupo kwenye kitengo cha entertainment au mazingaombwe!!!!
 
Cheusi umeniacha hoi kwa mwaswali yako

hata mim yameniacha hoi.
huyo kwenye avatar ni wewe au ndio wifi yetu?
ana shepu matata.
hivi mfukunyuzi kapotelea wapi jamani,nampenda sana yule baba.
 
Signature yako inawasilisha ukweli ambao wengi hawaupendi wala kuubali
Hongera

hata mim yameniacha hoi.
huyo kwenye avatar ni wewe au ndio wifi yetu?
ana shepu matata.
hivi mfukunyuzi kapotelea wapi jamani,nampenda sana yule baba.
 

Wanaongezewa ARI ya kujiamini kuwa kila kitu kinawezekana. Ukijiamini unaweza hata ukadaka risasi iliyofyatuliwa!!
 
Signature yako inawasilisha ukweli ambao wengi hawaupendi wala kuubali
Hongera

ni kweli lkn nawaonea huruma maana mim naponda maraha ndani ya Yesu.
hata hivyo kila kinywa kitakiri kuwa Yesu ni bwana,narudia kila kinywa na kila goti litapigwa mbele ya mfalme wangu.
Yaani acheni tu jamani kwa Yesu kuna raha ndio mana sina cha kumlipa bali kumkiri kila nipatapo fursa.
 
walikuwa kwenye magfunzo yaliyoandaliwa na PEAK performance..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…