Kanitoka kidogo aisee sio Mao Zedong kweliiKuna kiongozi fulani wa Mongolia ambaye inasemekana kati ya binadam 10 basi 7 wana vinasaba (DNA) vyake. Mtaje!..
Mao Zedong ni mchina me naongelea kabla ya China!..Kanitoka kidogo aisee sio Mao Zedong kwelii
Basi niambie mkuu ni GoogleMao Zedong ni mchina me naongelea kabla ya China!..
Genghis KhanBasi niambie mkuu ni Google
Anhaaaa namjua huyu mtu ahsante sana, inaaemekanà alizaaa sana na wanawake wengi mpaka leo ukichukua watu kumi basi nane wanatoka kwenye bloodline yake...Genghis Khan
Tactics zake alizotumia mpaka leo zinatumika fundishia jeshi!..Kaburi lake halijulikani mpaka leo, majenerali wake walipoteza ushahidi wa wapi kazikwa!...Atabaki kumbukwa kwa kuruhusu uvumilivu wa dini mbalimbali kwenye empire yake pamoja na ukubwa ilokua nao!!.Anhaaaa namjua huyu mtu ahsante sana, inaaemekanà alizaaa sana na wanawake wengi mpaka leo ukichukua watu kumi basi nane wanatoka kwenye bloodline yake...
Ila aliendesha vita sana na kuua watu huyu kiumbe...
Aiseee ahsante sana ngoja nitamsaka nikipata muda niongeze maarifaTactics zake alizotumia mpaka leo zinatumika fundishia jeshi!..Kaburi lake halijulikani mpaka leo, majenerali wake walipoteza ushahidi wa wapi kazikwa!...Atabaki kumbukwa kwa kuruhusu uvumilivu wa dini mbalimbali kwenye empire yake pamoja na ukubwa ilokua nao!!.
Ukiweza muanzishie thread tupo wakuchangia usisahau nitaggAiseee ahsante sana ngoja nitamsaka nikipata muda niongeze maarifa
Let keep on touch nitafanya hvo..Ukiweza muanzishie thread tupo wakuchangia usisahau nitagg
Nimepitia maswali ya watu na response yako inaonesha wazi Kabisa history huiwezi na Kama utajibu basi majibu yako yatakuwa google orientedYou can ask any question of history ....it's special for students, especially from form one up to six........you're most welcome......
![]()
nipo hapaNi nani huyu MANSA MUSSA