View attachment 2521864
Ukimsoma huyo jamaa utaacha utopolo wa kubeza watu humu.
One of his quote "Most of non native english speaker, speak poor english bad and unrecognized pronunciation " he continue
"They pretend they know and.....".
Jitafakari sana kuna watu wanajua na wametuandikia vitabu kuwagundua watu kama nyie mnaojifanya mnajua kumbe hamjui.
"Native english speaker doesn't care grammer and mistakes a non native english speaker makes". A J .HOGE
Utajua hujui.