Asiyejua maana, haambiwi maana

Asiyejua maana, haambiwi maana

Kama kweli ulilipenda gari utaligharamikia tu, kwasababu litakua na maana kubwa kwako zaidi ya kuliendesha
Kwa hiyo utalipenda hata kama litatokea kukusababishia ajali kutokana na kuendeshwa na madereve wengi,kumbuka Kuna madereva huwa wanendesha magari bila kuwa leseni,na wengi ndo wanaongoza kusababisha ajali
 
Huuwezi huu mchezo, huelewi hii analogy😂

hata hivyo kulinganisha gari na ke hakujengi picha kamili
 
Ubovu wa gari unasababishwa na dereva mbovu,
Hapana si kweli,Dereva ana asilimia zake vile vile barabara mbovu,mtengenezaji na bila kusahau hali ya hewa na maji yanayotumika kuoshea gari kumbuka maji ya chumvi yanaharibu sana gari.
 
Ujumbee wako unaendana na nyimbo ya young d (gari yangu).

Japo cku hz mpk upate gari ambalo alijasoma kilometer za kutoshaa n kazii

Ukikosa ambayo kilometer zimesomaa unaqngukia Kwenye used ambao n single mother..
 
Unaendesha gari haipigi kelele halafu ukifunua bonet inatoa harufu kwa vile panya wamefanya makazi yao humo
 
Back
Top Bottom