ni sawa na kuipa aston villa ishinde EPLHahaha siku hizi kuoa ni Sawa na kucheza biko au Tatu mzuka [emoji23][emoji1787][emoji23]
🤣🤣🤣mkuu iyo tunaiitaga future impossible tense
Basi huyu dada atakua anapenda short chases sana, maana kichuya na stamina wote urefu sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo anaposema kumpakia mkongo anamaanisha vumbi la kongo ama? [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah noma Sana kakaHiyo miaka 50+ unaipata wapi wanawake wameanza kasumba ya kukata vitendea kazi, ukipata upenyo we kimbia hujui siku yako lini.... gharama za kufuga hao viumbe ni kubwa mno ukilinganisha na mavuno ya ‘uzeeni’ ambayo kwanza huna uhakika.
Jesus saves, I spend.
Thibitisha hiliStamina ndio ana matatizo, jamaa alikuwa Malaya sana , hasa akienda kupiga show ,yeye na Roma ndio zao, sema Roma ashukuru mke wake mvumilivu sana
Huu wimbo katoa kama symphath tu
hiyo ni kitu ngumu kutokea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu iyo tunaiitaga future impossible tense
Hmmm, i dont think so..Stamina ndio ana matatizo, jamaa alikuwa Malaya sana , hasa akienda kupiga show ,yeye na Roma ndio zao, sema Roma ashukuru mke wake mvumilivu sana
Huu wimbo katoa kama symphath tu
Wewe mgeni na hawa kina stamina wakiwa kwenye show hasa mikoaniHmmm, i dont think so..
Misunderstandings zlkua nyingi and he really tried his best to save the marriage,its personal stuffs.
Tuache speculations ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa short chassis tarajia haya