Tena chombo kikisimamishwa kwa muda tu kutokana na makosa ya dereva, abiria wanalalamika kana kwamba ni uonevu wakati ni kwa usalama wao.Mchawi haendeshi hapo ni kazi ya abiria kunyamzia mambo hayo hatutoi taarifa kwa chombo cha usalama barabarani
Yalaaaaaah umeua buji buji, Yan umepigilia msumari kwenye kidonda
Yebooo
kazi ya madereva wenye haraka zao! cha kushangaza hadi STJ, SU-Magari ya serikali yanaonekana kuvunja sheria na huku wanatoa masharti magumu kwa waombaji wa nafasi za udereva serikalini!!!
mkuu tazama picha yenye lori la AZANIA. hilo Land cruiser Hard Top numbered SU....... lime-overtake kwenye kona kinyume na sheria ya usalama barabarani. (hairuhusiwi kulipita gari jingine kwenye kona, carvat, daraja au bila kuona lau mita 100 mbele) wapo wataalam na wazoefu wa masuala ya sheria hizi wataongezea.STJ imevunja sheria gani hapo mkuu