Asilimia 99 ya wanawake wanajiuza...!

The Boss at his best!ahahahahhhahhah haya kwa jiyo nikifundisha darasani ili nipate award kwa kutoa A nyingi na mi ni malaya uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuwih! BAKITA mko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na wewe weka 99.99% wanajiuza tuuuuu,ukiona demu anakuonga ujue ashaona future nzuri kwako so anawekeza tu au anataka marital status maried.. kisukari punguza pressure.
 
Last edited by a moderator:
The Boss at his best!ahahahahhhahhah haya kwa jiyo nikifundisha darasani ili nipate award kwa kutoa A nyingi na mi ni malaya uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuwih! BAKITA mko wapi?

Unajua kama uliwahi kumsoma Karl Max
ndie alieanzisha upuuzi huu wote
yeye aliwahi kusema 'marriages is some kind of prostitution '
so huyu mleta mada ndo kaitoa huko
hii ni very old argument...wala sio mpya
nilichomjibu ni kuwa 'kila kitu ni tafsiri'
ndo maana kina Jlo na Beyonce huko makwao wanaabudiwa
na kupewa awards lakini nchi zingine kama Saudi Arabia labda wangekatwa vichwa hadharani
go figure that
 
naunga mkono hoja kiongozi,we mpz wako mkitoka kuduu tu usipomtoa ananuna sa ndo nn,mm mwenyewe huwa nakaa naskuti huwa napata majibu kama hayo ya mtoa mada
 
kwa hiyo?ukisema hivyo,ina maana unawasema hata dada zako,au ndugu zako wa kike.jee mnashikwa mashati kutoa hizo hela?au mnazitoa wenyewe?

Diabetes, hiyo avatar yako tayari inaashiria kupiga mzinga. umenyoosha mkono kupokea faranga au?
 
vyovyote itakavyokuwa kama zinaaa ni zambi kila mtu ana ac yake hii ni linaukweli kwani hata dna test zinaonyesha zaidi ya 51% ya vipimo vya utambuzi huwa vinawakataa wazazi
 
hakuna biashara isiyo na mteja,

wateja wanavyoongezeka ndivyo ubunifu wa biashara unazidi
 
mleta maada uko sahihi na kuunga mkono maana wanawake wengi niliokaa nao karibu ukiwasikiliza au ukiangalia ndoa zao wanaishi kwa sababu ya kipata, wadhifa, wa mmewe na siku zikitoweka wao ndio wakwanza kusepa

Na wale wanawake wanaowazidi waume zao vipato na wanahudumia familia including huto mwanaume basi waume zao pia wanajiuza kwao kwi kwi kwi.Na siku ukiishiwa umapomwomba mamsap akutoe pia hesabu umejiuza siku hy kwi kwi kwi
 
Kweli....
1. Kujiuza kiustaarabu : indirectly
2. Kujiuza kwa kujitangaza : directly
 
JF Senior Expert Member Array

Join Date : 22nd August 2008
Posts : 18,951
Rep Power : 8604
Likes Received5021
Likes Given12167

[h=2]
Mwanaume ukilalamika hivi hutokuja kuoa, sasa unataka mkeo apewe pesa na nani?[/h]
Kama Wanawake wataendelea na hii tabia,sitoshang
aa wanaume kuendelea kuweka mgomo wa kuoa
na kuendelea kulalamikiwa kwamba
wanawachezea...
Hivi inakuwaje unaanza uhusiano na mtu,hata wiki
hujamaliza unaanza kumwambia Baby naomba kama una laki 3 haina kazi ya haraka haraka
natakiwa nikakomboe dressing table yangu kwa
fundi...Laki 3 ya haraka haraka??Mshahara wenyewe
tu sipewi haraka haraka nausubir
i hadi mwisho wa mwezi,we hiyo haraka haraka
itatokea wapi??Kama unadhani kuna hela ya haraka haraka itafute uone,mbona we hauna?Dressing
Table uweke oda ww,mimi sikuwepo,halafu kuilipia
unapiga mzinga huku...haya hilo moja.
..Mara utasikia Baby naomba hela nipande Bajaj
daladala ntachafuka,sio mbaya its ok,sh ngapi Bajaj
itakutosha..Elfu 30..khaaKwani siku hizi kuna Bajaj za Dar kwenda Moro?Arrgh bora chama la Bachela,wizi
mtupu...Bado hujaombwa hela ya BBM ime-expire.Si
ununue mwenyewe,kama huna na wewe Expire.
My take: haya sio maneno ya saint ivuga nimeyaokota kwa watu huko wakilalamika mm nahudumia CUTE wangu na wala yy sio mtu wa mizinga​

Last edited by Saint Ivuga; 27th September 2012 at 11:01.​
 
Sidhani kama takwimu hizo ni sahihi kwenye asilimia99 kuna mama zetu kuna dada zetu kuna mashangazi na kadhalika kwahiyo wote wanajiuza.
 
Wenyewe asilimia mia mbili ni malaya wa rejareja bora anaejauza... Hamna mwanaume mwenye mwanamke zaidi ya mmoja hamtaki kukubaliana na fact kuwa mwanaume kuhonga ni sunna!!!
 

acha kuwakosea heshima kina mama....hivi unajua %99 hata bi mkubwa wako anaweza kuingia humo . Bora ungesema %99 ya kinadada...
 
mapenzi na pesa ni kinyume kabisa na kanuni za uumbaji! Utakuta kabinti ka miaka 16 kana libabu au kavulana ka na libibi hilo sasa kuna mapenzi kwl hapo? Mtoa mada yupo sawa hata hao mama zetu wamehongwa sana mpaka kuolewa na baba zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…