Asilimia 6 ya HELSB

Inaitwa Retention fee. Kila mwisho wa mwaka inaongezeka Asilimia 6 ya mkopo uliopo kwa wakati huo. Mfano Kama kwa Sasa unadaiwa milion 6 then by December utakuwa umelipa na mkopo wako kubaki milioni 4 then itatafutwa Asilimia 6 ya milioni 4. Kama ikipatikana milion moja Basi itajumlishwa kwenye milioni 4 na hivyo zitakuwa milioni tano siyo nne Tena.
 
Kuna kumaliza deni hapo..??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afu kuonesha kuwa ni utapeli.....HELSB hawataki mabenk yanunue hiyo mikopo
 
Back
Top Bottom