Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,363
- 1,135
Wakuu mi ninadhani plausible explanation ni kwamba kama wanasayansi wengi wanakubali AIDS ilitokana na (SIV) ambayo ilikuwa/inapatikana kwenye nyani...
Na jinsi ya transmission labda mtu aliumwa na nyani au wakati anamchinja nyani labda fluids za nyani zilimuingilia huyo mtu (wote tunajua watu wa Central Africa wanakula nyani)
Baada ya hapo labda hiyo SIV ikabadilika mpaka HIV....
Msishangae hapo labda ni nyingi sababu hii ni theory moja tu kati ya nyingine nyingi lakini hii inakubalika zaidi ya ile HIV ilitengenezwa ili kuwauwa watu wa aina fulani (gays n.k.) Hii kwa kweli mimi sikubaliani nayo kabisa
... Definetly!
and am very interested on how you conquer your oppenett with Love ... you know what? if you give me the technic ..I' modify and use it ... as Medicine ... TO CONQUER ... Chronic illnesses!! ..Powerfull than Kikombe cha Babu. Isnt that a good achivement for our humanity? and the trade mark of the Dawa? [ADii..pamoja sanaa!!] Lol
@ Bold and red,
Dhana ya kutengenezwa HIV ..Hata mimi haingii akili kabisa!
Lakini kuna porofesa mmoja anaamini (Peter D ..Post namba 9) ... kulikuwa na makosa ya Kugundua kinachosababisha AIDS... Kwa makosa hayo ... Ya kitaalam kabisa yaliyofanyika kwenye maabara ... HIV.. Ikabebeshwa mzigo wote wa kuwa Chanzo Cha AIDS ..lakini yeye anafikiri sio hivyo...! Anaamini kuwa lazmima kuwe na Hali nyingine zinazotangulia ili Kufanya HIV kuanza kuwa na madhara(Kama ulivyosema wewe.. ku-mutate) ..ndio maana yeye anapinga ARV peke yake ila anasisitiza KUTIBU hayo mazingira mengine kwanza. Kwa Mtizamo huo yeye anaona kuwa HIV imetengenezwa kwa makosa ya KIMTIZAMO kati ya makundi mawaili ya wataalam ndani ya Maabara!!
AJ;
Hapo unamaana gani haswa?
Ni kwamba kweli HIV .... ni virusi vya kutenegezwa na vinatengenezeka kweli? Maana kwa kweli tiba ndio ingekuwa jambo la msingi zaidi ya yote haya.
Diabetes and AIDS are nothing but LABELS created by doctors, to put a name on a collection of symptoms they cannot explain with their pseudo-science. The truth will shine through, in the end.
Quote from Mark Anastasi
Mkitaka kujua chanzo cha HIV someni kitabu kinachoitwa " Full Disclosure"
Mkuu donoa hata... Muhutasari kidogo ....Tu!!
Virusi ndio Chanzo kukuu cha AIDS au kuna chanzo kingine kisichohitaji dawa kali kama wanazomezeshwa wanadamu?
FULL DISCLOSURE
The Truth About the AIDS Epidemic
by Dr. Gary Glum
"At last, here is an author who truly risks all by exposing THE HIDDEN AIDS AGENDA IN ITS UGLY ENTIRETY, TAKEN FROM "CODEWORD"--TOP LEVEL, SEVERELY RESTRICTED INTELLIGENCE FILES, the book is in a class of its own, and not just another book on AIDS.
"The amazing lengths to which government, the medical profession, pharmaceutical companies and the World Health Organization went to cover up the shocking and appalling horror of the AIDS plague is fearlessly told by Dr. Gary Glum, author of the book, "CALLING OF AN ANGEL," which first broke the "silence barrier" of the long history of treachery and deceit by those who govern the world from behind the scenes, those who identify man as the enemy, "a cancer."
"FULL DISCLOSURE IS THE ONLY COMPLETELY UNABRIDGED account of WHY and HOW the AIDS virus was created, and those who set in motion a plague now threatening to extinguish ALL HUMAN LIFE ON EARTH. Dr. Glum forcefully tells of the "Final Solution" to "over-population, defectives, and selected racial groups." We learn, for the very first time, that the organization which helped to formulate Germany's "Final Solution" worked on the AIDS program from the very outset. People with preventive and healing natural medicines working to combat the always-fatal disease have been hounded, persecuted, and even murdered, as the book reveals. Dr. Glum spent the past eight years researching AIDS, gathering information from the most credible sources: people in a position to know, but who were afraid to speak out, those who knew they could trust him to bring their secret information to the attention of the people.
"FULL DISCLOSURE is the "Bible," THE LAST WORD ON AIDS. This hopeful account is unique, not only because it NAMES those who created this terror, but because it also offers HOPE against infection by the AIDS virus. When a shocked establishment recovers from FULL DISCLOSURE, efforts will be made to suppress it. In 1977 and 1990, authors John Markus and Gordon Thomas, using top secret CIA files, exposed the widespread diabolical gigaherz radiation mind altering experiments going on in America. Both books were quickly swept off the market and it is impossible to obtain copies of them today." [Text above taken from dust jacket]
FULL DISCLOSURE is not just a book about AIDS. It is about the documented agenda of the global elite and their use of biological weapons of mass destruction for the purpose of population control. Your survival may depend on whether or not you confront and apply the information in this book. FULL DISCLOSURE contains information about the herbal antidote that may save many lives, including your own.
CLICK HERE to learn more about what happened to Dr. Glum when he published FULL DISCLOSURE.
[The SHFN Newsletter subscriber list is not sold or shared with anyone. The current newsletter and newsletter archive links are at the bottom of
Mkuu HINI,
Msemo wa Mark Anastasi .... umeniacha hoi ... Ni ukweli gani anategemea ujitokeze mwishoni ..naye haamini kuwa virusi vinaleta AIDS?
Kama si kosei ID yako ni Kirusi cha mafua ... Huogopi virusi ... au its just Lables?
Kuna msigano mkubwa sana katika ulimwengu wa watafiti wa HIV,baadhi wametilia shaka tafiti zilizotangulia na kuhitimisha kuwepo kwa HIV kama ndicho chanzo cha AIDS,sababu kubwa wanayoitoa na ambayo wanaamini kuwa ndiyo sababu inayosababisha kukosekana kwa chanjo ya kinachoitwa HIV ni kwamba wagunduzi wa HIV walifikia hitimisho pasi na kufuata utaratibu wa utafiti wa vimelea kisayansi,wanasema walihitimisha huku wakiwa wameshindwa kufanya isolation ya huyo HIV ili kuweza kumtambua,Hii imefanya tafiti kuhusu chanjo na tiba kuwa ngumu,kwani adui bado hajulikani lakini watu wako bize kutafuta silaha za kumwangamiza au kumzuia,ukweli unaotarajiwa ni utafiti wenye hitimisho la kweli kuhusu nini kitu AIDS,Lakini kumbuka AIDS sasa hivi ni bonge la deal kwa wagonjwa,madaktari,NGO,Mafisadi,hata wewe ! hivyo juhudi zozote za kutafuta ukweli zitapigwa vita kwa matokeo yake yanaweza kuondo ULAJI kwa watu...Mie siogopi kirusi hicho kwani hakiniathiri m/s solution
Story nyingi sana ..
ila inasikitisha kwa kuwa
imejumuishwa na kitu kitamu ....
Wakuu mi ninadhani plausible explanation ni kwamba kama wanasayansi wengi wanakubali AIDS ilitokana na (SIV) ambayo ilikuwa/inapatikana kwenye nyani...
Na jinsi ya transmission labda mtu aliumwa na nyani au wakati anamchinja nyani labda fluids za nyani zilimuingilia huyo mtu (wote tunajua watu wa Central Africa wanakula nyani)
Baada ya hapo labda hiyo SIV ikabadilika mpaka HIV....
Msishangae hapo labda ni nyingi sababu hii ni theory moja tu kati ya nyingine nyingi lakini hii inakubalika zaidi ya ile HIV ilitengenezwa ili kuwauwa watu wa aina fulani (gays n.k.) Hii kwa kweli mimi sikubaliani nayo kabisa
Ni kweli mkuu wameanza zamani sana lakini sababu SIV (ambayo huwa ipo kwenye nyani inafanana sana na HIV basi uwezekano mkubwa ni kwamba ilibadilika kutokana na mazingira kutoka SIV hadi HIV..Mkuu VoR inamaana wakongomani wameanza kuwala hao nyani 80's? Kama sivyo kwanini iwe miaka hiyo na si kipindi kingine chochote katika uhai wa binadamu?
Je, wangapi wameathiriwa na ulaji na/au mwingiliano huo tangu wakati huo mpaka sasa?
Kwangu mimi hii nadharia ni NO.
Ni kweli mkuu wameanza zamani sana lakini sababu SIV (ambayo huwa ipo kwenye nyani inafanana sana na HIV basi uwezekano mkubwa ni kwamba ilibadilika kutokana na mazingira kutoka SIV hadi HIV..
Ni kweli hizi zote ni theory na hazina uhakika lakini hii theory nadhani ni more plausible kuliko zile nyingine...
VoR , ulishasikia habari ya Human Endoginius Retro Virus (HERV) ... its a normal flora ..and forms about 3-4% of human DNA..!!